Recent content by Joyce joyce

  1. Joyce joyce

    Mnaowaita Mabeberu wamekohoa sasa

    Huo ndio ukweli hii serikali haieleweki
  2. Joyce joyce

    Mnaowaita Mabeberu wamekohoa sasa

    Hello mmenielewa
  3. Joyce joyce

    Uchaguzi 2020 Ombi: Ratiba ijayo ya Mikutano ya Kampeni za Tundu Lissu iangazie Wilaya za Rungwe na Kyela

    Mgombea wa ubunge Ccm bunda mjini anahutubia watoto anawaambia kuwa maabara Ya taifa ndio inayotengeneza dawa tunazotumia, wakuu huyu ni kwa nini tume isimuondoe haraka iwezekanavyo? Anawapotosha watoto wanaosoma huko Shuleni si watadhani ni kweli?
  4. Joyce joyce

    Mnaowaita Mabeberu wamekohoa sasa

    Polisi wamemuomba msamaha lisu na kumuomba aendelee na ratiba zake za kampeni na kumtakia ushindi mnono, ni baada Ya kujikutaka wakifundishwa sheria na lisu Kwa kuwaelekeza namna sheria inavyomtaka Polis kufanya Wakati Wa wito wa mtuhumiwa, lisu amewambia kupitia ukurasa wake kuwa jina...
  5. Joyce joyce

    Mnaowaita Mabeberu wamekohoa sasa

    Wakuuu polisi wamempigia tundu lisu kampeni pasipo kujua, yani kahangaika na mabarua Mara kumwiiita maara kusema akaripot Polis Moshi wamejikuta kuwa wanachokifanya ni kumpigia kampeni pasipo kujua
  6. Joyce joyce

    Uchaguzi 2020 Dar: Jeshi la Polisi lasitisha wito wake kwa Tundu Lissu, lamtaka aendelee na Kampeni zake

    Na wasithubutu kumuuwa ndio watadakwa faster na watashitakiwa na kunyongwa wooote
  7. Joyce joyce

    Hata kama sijasoma Sheria lakini naelewa kuwa hauwezi ukatenda kosa Moshi kisha ukaitwa Polisi Kanda Maalum Dar

    Polisi wameamua kumsaliti magufuli na kumuuunga mkono lisu Kwa kumpigia kampeni, hawa polis wamefanya Jambo kubwa saanaa sasa Yule aliesema kuwa watu wanaenda kuona msukule sasa ndio atajua hajui watu sasa wataenda kuongezeka Kwa kwenda kutaka kujihakikishia kumuona huyo aliewashinda Polis na...
  8. Joyce joyce

    Hata kama sijasoma Sheria lakini naelewa kuwa hauwezi ukatenda kosa Moshi kisha ukaitwa Polisi Kanda Maalum Dar

    Baada Ya muda si mrefu wanaccm Kama Mimi wataanza kumuacha Yule Spea, wataanza kumuacha mwenyewe baada Ya tarehe 20 atakuwa amebaki pekeee yake
  9. Joyce joyce

    Hata kama sijasoma Sheria lakini naelewa kuwa hauwezi ukatenda kosa Moshi kisha ukaitwa Polisi Kanda Maalum Dar

    Lisu apiga magori matatu Kwa Siku moja na kuondoka na mpira hahahahahahhaha
  10. Joyce joyce

    Uchaguzi 2020 Dar: Jeshi la Polisi lasitisha wito wake kwa Tundu Lissu, lamtaka aendelee na Kampeni zake

    Wewe lisu hakuwajibu, lisu hawez wajibu watu wadogo Kama IGP lisu anawajibu watu wakubwa Kama mabalozi na marais watarajiwa wenzake
  11. Joyce joyce

    Hata kama sijasoma Sheria lakini naelewa kuwa hauwezi ukatenda kosa Moshi kisha ukaitwa Polisi Kanda Maalum Dar

    Haya Mimi nikiwaaambia kuwa hiii kitu haiwezekani haya Sasa polisi imemuomba radhi lisu na kumuomba kuendelea na ratiba zake na wamemtakia ushindi wa kishindo
  12. Joyce joyce

    Hata kama sijasoma Sheria lakini naelewa kuwa hauwezi ukatenda kosa Moshi kisha ukaitwa Polisi Kanda Maalum Dar

    Hajatenda kosa lolote ni hujuma tu, walitaka kushindana na mtu alieletwa na MUNGU kwa makusudi maalum
  13. Joyce joyce

    Hata kama sijasoma Sheria lakini naelewa kuwa hauwezi ukatenda kosa Moshi kisha ukaitwa Polisi Kanda Maalum Dar

    Haha hahah haha hahah haha hahah haha hahah haha hahah haha hahah haha hahah haha hahah [emoji23] nilishawaaambia kuwa lisu anasaidiwa na polis kwenye kampeni pasipo polisi kujua
  14. Joyce joyce

    Uchaguzi 2020 Dar: Jeshi la Polisi lasitisha wito wake kwa Tundu Lissu, lamtaka aendelee na Kampeni zake

    Tutaelewana baadae vizuri wale wanaompinga lisu wajue kuwahuwez mpinga mtu alieletwa na MUNGU kwa ajiri Ya kuwakomboa wanyonge
Back
Top Bottom