Hata kama sijasoma Sheria lakini naelewa kuwa hauwezi ukatenda kosa Moshi kisha ukaitwa Polisi Kanda Maalum Dar

Joyce joyce

JF-Expert Member
May 23, 2020
457
1,973
Wakuu, nimeona barua mitaandaoni ikionesha kuwa imeandikwa na Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar, ninatafuta ukweli wa hiyo barua anayefahamu anijuze ili nicheke kidogo maaana Mimi sikusoma sheria ila kuna vitu huvihitaji kusomea mfano Kama hiyo barua ni ya ukweli basi kuna watu ndani Ya Jeshi la polisi wanaomuuunga mkono Tundu Lissu au Jeshi la Polisi linasimamia sheria wasioijua.

Wakuu popote pale dDuniani huwezi andika barua ya wito ukamwandikia mtu ambae haumuhitaji kwenye hilo kosa, mfano ukimwandikia Baba yangu barua kunihitaji Mimi, hiyo barua inakosa mashiko ya kisheria, wito haupitii kwa mtu mwingne, Kama unamhitaji lisu barua ya wito inaandikwa kwa lisu sio Kwa bosi wake, kwa hiyo polisi ikimuhitaji Mtumishi wa serikali inapeleka barua kwa boss wake?

Hao mliowakamata walioko Gerezani barua za wito mlipeleka kwa maboss wake? Mlipowaita akina Kangi na wale Makatibu Wakuu, mlipeleka barua kwa boss wao ambae ni Magufuli?

Swala lingne la pili nimeona barua imeandikwa na kanda Maalum ya Dar, kabla ya barua Mkuu wa Polisi alisema kuwa Lissu amefanya makosa Moshi, sasa huyo wa Kanda Maaalum anamamlaka hadi Moshi? Hivi nyie Polisi mbona mnatia aibu kiasi hiki?

Yaani sheria mliyotunga nyie wenyewe ambayo hata Mtoto wa Darasa la Kwanzaa anaijua mnajifanya kuivunja na kusema kuwa mnataka kumuhoji mtu aleivunja sheria wakati wewe unavunja sheria, uliona wapi Kanda Maalum ya Tarime ikamwita mtu alietenda kosa Tabora? Hivi ni hwa nini wameshindwa hata kuficha aibu zao barua ioneshe kuwa imetoka Makao Makuu? Au ndio ile ile kuwa siku ya kufa Nyani miti yoote huteleza? Haya basi barua imesema chana kuna chana Tanzania?

Mimi ninawambia Lissu ndio rais wa sita hiz zooote ni mbwembwe tu.
 
Lisu anapambana na polis, tume ya taifa, Ccm na msajiri wa vyama
 
Inaonekana hata polis hawapendi anachofanyiwa lisu ndio maana makosa wanayafanya eidha makusudi ili kumlidhisaha meko ionekane wanafanya kazi
 
1601626323280.png

Shangazi pia anashangaa
 
Sasa imekuaje Mbowe akahusika kwenye hyo barua?
Hawa watakuwa wanafanya makusudi Mkuu, wanajua kuwa lisu anaifaham sheria na akiona kosa hataenda ndicho kilichofanyika polis wanamuunga mkono lisu kisayans
 
Haha hahah haha hahah haha hahah haha hahah haha hahah haha hahah haha hahah haha hahah nilishawaaambia kuwa lisu anasaidiwa na polis kwenye kampeni pasipo polisi kujua
 
Haya Mimi nikiwaaambia kuwa hiii kitu haiwezekani haya Sasa polisi imemuomba radhi lisu na kumuomba kuendelea na ratiba zake na wamemtakia ushindi wa kishindo
 
Lisu apiga magori matatu Kwa Siku moja na kuondoka na mpira hahahahahahhaha
 
Baada Ya muda si mrefu wanaccm Kama Mimi wataanza kumuacha Yule Spea, wataanza kumuacha mwenyewe baada Ya tarehe 20 atakuwa amebaki pekeee yake
 
Polisi wameamua kumsaliti magufuli na kumuuunga mkono lisu Kwa kumpigia kampeni, hawa polis wamefanya Jambo kubwa saanaa sasa Yule aliesema kuwa watu wanaenda kuona msukule sasa ndio atajua hajui watu sasa wataenda kuongezeka Kwa kwenda kutaka kujihakikishia kumuona huyo aliewashinda Polis na huyo aneifundisha serikali sheria yukoje
 
Back
Top Bottom