Mmi nitaka kuanza biashara ya kuchoma chips je inalipa na kama inalipa ni kwa mfumo au vigezo vipi?, pia kama hailipi naombeni mchanganuo na mawazo yenu wadau, lakini biashara hiyo nataka kuifanyia dar.
Naombeni kujua au msaada kuhusu hizi biashara ambazo wenyewe wanaziita online donation je zna ukweli ndani yake au ni ujanja ujanja tu mfano oilframe, global alliance, na zingine nyingi??
Mmi ni mmoja kati ya wakaz wa eneo hlo ipo hvi hlo gar huwaga linafanya safar zake kutoka hapo kivukon kwenda buhongwa pia linatoka buhongwa kurudi kivukon ssa klichotokea ni kwamba wakati gar hlo linatoka buhongwa kwenda kivukon aliendesha gar hlo alikua ni konda baada ya kufika kivukon hapo...
Ninaomba msaada kwa yeyote anaefaham ukwel kuhusu hili je ni ukwel kuwa laptop ambazo ni refubric haiwez kuongezewa hard disk au kubadlishwa hiyo had disk? Cuz mmi nna hp envy ina ssd 32gb vpi siwez kubadili na kuweka ssd au hhd kubwa zaid?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.