Recent content by JOVITUS KAMUGISHA

  1. JOVITUS KAMUGISHA

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuinua Biashara na Uwekezaji kwa Mustakabali Endelevu

    Utangulizi: Tanzania inakabiliwa na fursa kubwa ya kuboresha biashara na uwekezaji, hususan katika sekta za madini na miundombinu. Makampuni makubwa ya kimataifa kama vile Rio Tinto, BHP, na Vale yameonyesha nia kubwa katika sekta ya madini, huku miradi mikubwa kama Reli ya Kisasa (SGR) ikipata...
  2. JOVITUS KAMUGISHA

    Maendeleo katika Jamii: Kutoka Mtu Binafsi Hadi Jamii Nzima

    Mwezi uliopita, nilichapisha makala kuhusu Kupanga ni Kuchagua na Kuchagua ni Kupanga. Nashukuru sana kwa wasomaji wangu ambao wamekuwa chachu ya kuandika machapisho haya na mengine mengi. Ningependa kuzungumzia ukuaji katika maendeleo ya jamii. Moja ya changamoto kubwa tunayokabiliana nayo ni...
  3. JOVITUS KAMUGISHA

    Kupanga ni kuchagua, kuchagua ni kupanga

    Siku kadhaa zilizopita nilikuwa naongea na mmoja wa marafiki zangu wa karibu nilimuuliza swali hili, “Je ni upi msemo sahihi kati ya kupanga ni kuchagua au kuchagua ni kupanga.” Mara zote nimekuwa nikichanganya katika kutanabaisha usemi upi sahihi. Na akanijibu- yote ni sahihi kwa maana...
  4. JOVITUS KAMUGISHA

    SoC01 Mambo kumi muhimu kwa wanafunzi wa elimu ya juu

    Asante sana mkuu, tuko pamoja kujengana
  5. JOVITUS KAMUGISHA

    SoC01 Mambo kumi muhimu kwa wanafunzi wa elimu ya juu

    Habari Vijana wa Tanzania, kokote mlipo Duniani! Nina furaha kubwa kupata fursa hii kuandika ujumbe huu kwenu. Hii ni kuhusu Elimu ya Juu na Maisha Halisi. Kama niwashaurivyo ninyi, nami pia najishauri! 1. Elimu ni msingi wa maisha. Hili ni jambo muhimu sana tukalijua na tukatambua ni kwanini...
Back
Top Bottom