Recent content by Jovinics

  1. J

    Naomba kujulishwa namna ya kujiunga vyuo vya certificate vya afya vya government

    nami na dogo langu ana matokeo kama hayo ntajarbu kama ataweza kuchachaguliwa.
  2. J

    Anataka kusomea Ufamasia au Physiotherapy

    Atasoma hata mi nasoma na nlikuwa CBG
  3. J

    Kombi ya CBG naweza kusomea Pharmacy?

    unaweza icpokua muhimbili tu
  4. J

    Maajabu ya Kampala International University

    Hizi ni chuki tu, hamna kitu kama hicho hamna watoto wenzio humu.
  5. J

    Mwenye CV ya Mrisho Mpoto

    Nyie walimu wa english mna tabu sana. Kosa dogo tu mnaanza kuwatoa watu akili, sipendi hii tabia ya dharau kama mtu kakosea na unataka kumrekebisha sawa, ila sio kumshusha thamani.
  6. J

    Kampala University mnatuchosha na hizi MPP zenu

    Ukisoma mtaala kozi zote ni zile zile sawa na huko muhas na kcmc kwa kipindi cha miaka yote mitano au minne.
  7. J

    Kampala University mnatuchosha na hizi MPP zenu

    haha eti unasoma cell types mtu wa bachelor..duh
  8. J

    Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    Mchekie broo wangu S.0426. 0065: 2002
  9. J

    Ifunda Tech yafungwa kwa muda usiojulikana

    Tatizo sio Maji, tatizo bakora. Maticha wa Ifunda wanachapa kupita kiasi yaani kama wanachuki na wanafunzi vile. Mie nilisoma hapo Advance nilimaliza 2012, yaani hao hawajui mkubwa wala mdogo, wa kike wala wa kiume wanachojali kupiga tu wakati mwingine hadi mateke wanatumia. Juzi nilienda...
  10. J

    Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    Kwa sasa ndo inakataa ku Log in, labda nd wanaweka mambo.
  11. J

    wachungaji makanisani wanavisa sana

    Wa 3 hana zambi huyo..haitaji maombi
  12. J

    Aliyefanya PCM anaweza kusomea udaktari?

    Kwa form 6 ni lazma uwe umesoma biology na si vinginevyo. La sivyo uanze na diploma _CO kwa kutumia cheti cha form 4.
  13. J

    Msaada Utaratibu wa kuapply chuo kingine kwa undegraduate aliye disco

    Apply upya chuo chochote, wala uspate tabu, hamna kutuma barua TCU wala nini. Fanya kama ndo umemaliza f6. Na ushahidi kuna jamaa yetu amedisco Udsm mwaka huu ameapply last month, jana alivyoangalia kapata chuo na facult bora kuliko aliyokuwa anasoma Udsm...wala usiwe na shaka ndugu maneno ya...
Back
Top Bottom