Recent content by jovinary John

  1. jovinary John

    JamiiForums Tanzania Jeshi La Kujenga Taifa Latangaza Nafasi za Mafunzo

    Nimeziona bhn ngoja nasisi tukajaribu
  2. jovinary John

    JamiiForums Tanzania Hivi mwaka huu nafasi za JKT hamna?

    Muda unazidi kwenda lakini hizi nafasi za JKT naona kimya hamna kinachoendelea au tuseme muda bado?
  3. jovinary John

    JamiiForums Tanzania JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

    [emoji16][emoji16][emoji16]
  4. jovinary John

    JamiiForums Tanzania JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

    Shida mtu wakukuunga moja kwa moja jwtz kupatikan
  5. jovinary John

    JamiiForums Tanzania JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

    Natamani Sana mwaka Huu kwenda JKT lakini Naona watu wanajilau mpaka nakata tamaa
  6. jovinary John

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida na changamoto za kusoma kozi ya Management of Social Development

    Sawa kiongoz Sent using Jamii Forums mobile app
  7. jovinary John

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida na changamoto za kusoma kozi ya Management of Social Development

    Nashukuru sana akika umenipa mwangaza sabiti , asant sana Sent using Jamii Forums mobile app
  8. jovinary John

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida na changamoto za kusoma kozi ya Management of Social Development

    Sana wadau mie niko first year nachukua kozi ya Management of Socail Development , kama wana jamii nilikua naomba kuhusiana na changamoto na faida za kusoma kozi hiyo pia maeneo gani ambayo mtu aliyesoma iyo anaweza fanya au kujiajiri Sent using Jamii Forums mobile app
  9. jovinary John

    JamiiForums Tanzania UNCONFIRMATION SELECTION

    Duuu basi sawa kama ikoivo manake mim walinichagua direct sababu nilipata chuo kimoja nkaomba tena nkizan nawez Pata tena
  10. jovinary John

    JamiiForums Tanzania msaada

    Jamani mwenye uelewa kidogo na kozi ya BACHEROL DEGREE IN MANAGEMENT OF SOCIAL DEVELOPMENT pia na uwanja wake waajira anisaidie
  11. jovinary John

    JamiiForums Tanzania UNCONFIRMATION SELECTION

    Omba kingine lkn kwaushauri usicancel
  12. jovinary John

    JamiiForums Tanzania UNCONFIRMATION SELECTION

    Nakushauri usikanseli lkn omba kingine pia siovby kama watakuchagua kingine manake utakua multiple zen utocomfem kimoja but unaweza uka cancel mwish wasiku ukaomba chuo kingine wasikuchague ukakosa vyote
  13. jovinary John

    JamiiForums Tanzania Ulizo:

    Duuu atamim icho kitu kimenkuta NIT wamenamby sjawa selected lkn nilivoingia tena nkakuta ujumbe aupo tena
  14. jovinary John

    JamiiForums Tanzania Wale waliochaguliwa IFM tukutane hapa

    Vp lkn mkali mkopo umepata iyo kozi au saman lkn
  15. jovinary John

    JamiiForums Tanzania IFM

    Eti wadau chuo cha IFM awanamfumo wakure- apply.. Sababu nimeomba awamu yakwanza lkn skuambiwa kama nimekosa au nimepata
Back
Top Bottom