Recent content by jovanna ngetelwa

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nape: Ben Saanane amepotea, Clouds wamevamiwa, akina Roma wametekwa, Rais achukue hatua

    ivi 2015 tulikuwa bado hatujakubali mfumo wa vyama vingi???bao la mkono veeep!!!!! haya ndo malipo yake #nape
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane, sio kila anachosema huyu "Binti wa Insta" ni ukweli, hata hili la Kinana anapotosha

    yale uliyokiri kuwa ya kweli ndo hayo yanayowafanya watu wamuamini,hayo mengine yasiyo ya kweli achana nayo hayazuii yale yenye ukweli
  3. J

    JamiiForums Tanzania Basata mnasubiri nini kumchukulia hatua Ney wa mitego

    tena vijipost safi sana,kwanza tusipangiane vina na mizani
  4. J

    JamiiForums Tanzania Basata mnasubiri nini kumchukulia hatua Ney wa mitego

    hizo hatua ziambatane na bashite,viongozi my foot,hiyo nyimbo imepenya
  5. J

    JamiiForums Tanzania Basata mnasubiri nini kumchukulia hatua Ney wa mitego

    hatua za huo wimbo ziambatane na bashite,viongozi my foot nyimbo imepenya hiyooooo
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kweli ni sahihi kwa Mh. Nape kumuita Afisa usalama mpuuzi?

    OK kumbe wewe ndo mpuuzi zaid ya aloambiwa umekuja kuonyesha tofauti,uko sahihi mtakuwa mmezidiana 0.5 ktk viwango vyenu vya uupuzi kuwa na amani
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rais alikuwa sahihi kumtumbua Nape.

    wenye akili km zako tyr wamekuelewa hata co wachache huenda mko wengi ,basi sawa
  8. J

    JamiiForums Tanzania Social medias are there to stay

    ujumbe umfikie coz ajifanya oooh vijipost vyenu kwenye mitandao,cjui udaku ili hali ni mdau mzr wa hiyo mitandao,asituchoshe Tanzania ni zaidi ya vitisho vyake ubabe peleka usukumani huko
Back
Top Bottom