Recent content by jov

  1. jov

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu UDOM _applicatin 2018/19

    Hii inaweza kuwa sababu labda ,ngoja J3 ntawatafuta,
  2. jov

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu UDOM _applicatin 2018/19

    NAtumia PC sema nimetumia tu simu kuposti hapa jukwaani
  3. jov

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu UDOM _applicatin 2018/19

    Sawa,ahsante kwa wazo hill
  4. jov

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu UDOM _applicatin 2018/19

    nisha log out Mara kibao na kulog in lakini iko pale pale tangu juzi
  5. jov

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu UDOM _applicatin 2018/19

    Wadau Naombeni masaada napitia chamgamoto katika kufanya maombi ya kujiunga na mwaka Wa masomo 2018/19 nimefungua account vizuri hadi nikalipa pesa ya maombiTsh 10,000/_ kupitia vodacom na nikajuzwa malipo kupokelewa ,Sasa shida ni kwamba zile stages zote zinazofuata hazifunguki ,Ila ya mwisho...
  6. jov

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu MS-excel-2007

    Ahsante nimefanikiwa isha kuwa vizuri ,
  7. jov

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu MS-excel-2007

    Habari za kwebu, Nina shida katika Ms- excel 2017 Haifungui document ambayo ipo kwenye CD wala flash inaandika 'There was a problem sending the command to the program'
  8. jov

    JamiiForums Tanzania Kama huja confirm attachments loan board fanya haraka ka confirm

    Jamani msaada wenu maana Mimi baada ya Ku_ upload naona kuna kiboma cha kijani wameandika mfano ni signature wameandika tu signature form is attached alafu naona preview na change .....hiyo ya ku- conferm siioni kabisa ....ambaye anaiona kwake hebu ascreenshoot iwe msaada na kwa ambao hatuioni...
  9. jov

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

    Ndio, na hiyo ikiwepo
  10. jov

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

    Pango lipo pembeni hiyo ni kwa ajili ya vifaa tu
  11. jov

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

    Asante kwa kukosoa nimeelewa, toa basi na msada wa mawazo baada ya kukosoa
  12. jov

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

    rent is excluded ...only for equipments
  13. jov

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

    Habarini za majukumu wapendwa nina BUDGET ya TSH milioni tatu nahitaji kufungua stationary naombeni kusaidiwa kwa budget hivyo nawza nunua vitu gani vya muhimu na nikafanya kazi. Ahsanteni :A S-fire1:
  14. jov

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

    La watu wa sanaa hlipo na kule tamisemi linasumbua wewe umeweka la watu wa sayansi na cheti tu
  15. jov

    JamiiForums Tanzania Selection Kidato cha Tano 2014/2015: Majina yote haya hapa

    Mbona mimi naandikiwa sever not found kwenye hizo link............
Back
Top Bottom