Recent content by JOTO KARI

  1. J

    JamiiForums Tanzania Hongera CCM imesimamisha vijana karibia Kata zote 27 tofauti na vyama vingine!

    Bunda chanuka katika kufunga kampeni chadema wahitimishia chuoni! Watu weng kwel kwel!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nyasura - Bunda: Mgombea wa CHADEMA Magambo ni Mganga wa Kienyeji sio Mtoto wa Waziri Wassira

    Napinga hadharan mm ni mkaz wa kata ya nyasura mtaa wa chuoni hyo jamaa namfahamu wala sio mgnga wa kienyeji hta kdogo!
  3. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuanza ziara Mara

    Vipi BUNDA atafka?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    Hata kma ni mzuri EL atafata msaafu wa ccm labda akabidhiwe ilan ya CHADEMA aifanyie kaz hiyo tu na awajibk kw chadema!!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kizungumkuti Kuungua kwa Bohari ya Dawa.

    Hii ndo Tanzania watu flan wameigeuza miradi, buriani T A N Z A N I A!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mnyika Jiandae: Kiongozi wa Upinzani aliyemfananisha Rais na Kiazi Kizimbani

    Security guard, Tanzania ipi yenye maendeleo? umeme juu, dawa hptal shida, mh vp babako kada wa ccm nini? KIKWETE MPUUZ
  7. J

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Waraka wa Manyerere Jackton na Pasco wa JF, kuhusu yanayoendelea CHADEMA

    Safi sana mkuu! nyie ndo watu tunaowataka hmu JF sio waropokaji wasio fanya reseach ''NO RESEACH NO RIGHT TO SPEAK''
  8. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza: Baraza kuu la Chadema linaundwa na kina nani?

    Haya bhana tutaona! ila niko mbion kuanzisha chama KIPYA yaani CHADETA(CHAMA CHA DEMOCRASIA TANZANIA)NIUNGE MKONO!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza: Baraza kuu la Chadema linaundwa na kina nani?

    Kwani aspofukuzwa maana yake amekuwa mkt?
  10. J

    JamiiForums Tanzania DC Bunda amtupa mahabusu mfanyabiashara kwa kukataa fomu ya udiwani kata ya Nyasura

    Viva chadema NYASURA!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu: Usikilizwaji wa UAMUZI wa pingamizi la Zitto dhidi ya CC ya CHADEMA

    Hivi Reticia Nyerere na Vicent nyerere wanasema nn juu ya zito?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Chadema kususia kuangalia TBC ni sawa na kususia kuona mwanga wa jua...

    TBC chombo cha kuwasafisha mafisadi!
  13. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wafanya Mkutano wa Kamati Kuu leo Dar, Mnyika aelezea yatakayotokea baadaye

    Mbona simwoni AFI,HALIMA MDEE NA RETICIA NYERERE?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mangula: Lowassa bora uondoke kuliko kuivuruga CCM

    Jamani Lowasa ana haki ya kutangaza nia na isitoshe si mpaka apitie ccm kwan ccm nan? ndiye anayegawa urais? MIUNGU-WATU
  15. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakunjana mahakamani Dar es Salaam kwenye kesi ya Zitto Kabwe

    nashauli pande zinazo hasimiana wakae meza moja wazungumze sio kupelekana mahakaman wata tatua mgogoro wao salama!
Back
Top Bottom