Shirikiaho la soka hushirikiana na serikali katika kutekeleza project kubwa Kama hizo kote duniani ndio maana nimekuuliza ulitaka Mwendwa aka bid mwenyewe?
Nakwambia hivi hio fed unayosema ilidumaza soka lenu ndio imeleta mapinduzi ya soka unayo yaona Leo.
Hii fed ya Sasa Haijafanya kitu tofauti na kuleta kocha.
Last federation ndio ilokuja na Azam deal, ambayo ilifufua soka kwa kuweka hela kwenye timu ili ziweze kujiendesha alafu wakaja na
Pamoja bid ikarekebisha viwanja na kujenga vingine vipya io fed mpya hakuna ilichofanya zaidi ya kuleta kocha
Mbali na ushamba, wewe ni limbukeni pia😂😂 tuambie ni wakenya wangapi wanatumia smart TV kiasi cha kufanya biashara ya satellite dish ife hapo kijijini kwenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.