Recent content by Joshua Simon

  1. Joshua Simon

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Mzee Mwinyi: Mtanzania wa Kwanza Kuwa Rais Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mwandishi wa hii makala ni Denis Mpagaze. Umekata jina lake na mawasiliano yake halafu hujamtambua popote kama mwandishi na mzalishaji halali wa maudhui haya. Sio uungwana
  2. Joshua Simon

    JamiiForums Tanzania Kijana fahamu na ishi kwenye kusudi lako

    Kijana wa miaka 23 anajua nini Cha kufia. Kwenye maisha, lazima ujue nini kusudi lako. Lazima ujue nini unaweza kukifia ama nini kinakufanya uishi. Kwakweli wengi wetu tunapumua tu. Tupo hai si kwa kusudi lolote, ni basi tu oxygen inajipitisha mbele yetu na tunapita nayo. Ni kama tunaiba hii...
  3. Joshua Simon

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu makato ya kodi

    Naomba kuelekezwa kama Kuna namna Mimi sielewi. Ni mara nyingi sana nikikata tiketi ya basi, unakuta kiwango kilichoandikwa pale ni tofauti na kile ulicholipa. Mfano, nilipanda basi kutoka Mpanda kwenda Dar, nauli ilikua 79,000 kwenye EFD receipt, lakini Mimi nililipa 75,000/= Kwa uelewa...
  4. Joshua Simon

    JamiiForums Tanzania KERO NIDA wanataka kadi ya kliniki ili kufanya marekebisho ya jina. Mtu aliyekwenda kliniki miaka ya 1990's anatolea wapi kadi hiyo leo?

    Mke wangu ana changamoto ya kutofautiana majina kati ya kitambulisho cha NIDA na vyeti vyake vya kitaaluma. Nimejaribu kufuatilia vigezo vinavyohitajika Ili kufanya marekebisho, nikakuta pamoja na vigezo vingine ni pamoja na KADI YA KLINIKI. Sasa hapa kweli, mtu aliacha kwenda klinic miaka ya...
  5. Joshua Simon

    JamiiForums Tanzania Chukua tahadhari unapopokea simu za watu usiowajua/kutoka namba ngeni

    🤣🤣🤣Kama mimi tu
  6. Joshua Simon

    JamiiForums Tanzania Rais Joe Biden kuchunguzwa baada ya kukutwa na Nyaraka za Siri Nyumbani kwake

    Tukifika hapa mniite popy
Back
Top Bottom