Kuna namna watu wanatafuta maslahi upande wa pili na mpango maalum wa kuonyesha madudu ya aliyepita ili watu wajue alikuwa mbaya na wao wapate nafasi kufanya kazi under no pressure
Na kama kila serikali ikija na mpango mkakati wake hakika kufika mbali itakuwa ngumu sana kila anayekuja anaona...
Kuna vikundi kama vikoba vingine vya vijana ambavyo vinamifuko yake ya fedha.
Je, ni mfumo upi bora wa uendeshaji vikundi hivi ili kuweza kustahimili chanagamoto mbalimbali ??
Na kwa mwenye udhoefu anisaidie chanagamoto mbalimbali anazo kutana nazo nanikwanamna gani anapambana nazo?
Karibuni...
Ametuaabisha afu usaniii wake wa kusifia kitu bila kujuaa hadhira ni kukusa maarifa ameabisha wasaniii wrote sijui walimwogopa wenzake wakati wa mazoezi au ni nini ni madudu Yale afu yanpromotiwa kwenye taarifaa ya habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.