Recent content by joshua moshi1

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kaka zangu naomba mnisaidie.Sitaki kurudi Misri ya u singo maza

    Naongezea pia, usimfatilie mumeo hata kama una ndoa na yeye, usifatilie nyendo zake, kazi yako kubwa ni kumuombea kwa Mungu akupende na kukuthamini muda wote.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kupewa na mwanamke wako/rafiki pesa, laki na kuendelea ?

    Wangu niliomba anikopeshe 40k tukaishia kuachana😂😂😂😂
  3. J

    JamiiForums Tanzania Una miaka zaidi ya 65, unajenga nyumba ya nini?

    Nina mzee wangu ana miaka 70 saii huwezi amini ameenda kununua shamba Marangu anataka kujenga nyumba mpya maeneo hayo, nikajiuliza sana sababu ya hilo jambo sikupata majibu mpaka sasa
Back
Top Bottom