Recent content by Joshua Mbezi

  1. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Nilikopa Sh 5M kutoka Bayport, nimekatwa kwa miezi 6, nimeomba balansi wanasema imebaki Sh 9M, kivipi?

    Kitu unachotakiwa kuelewa ni kubwa mkopo ni kwa manufaa ya mtoa mkopo sio mkopaji ile ni biashara sio huduma
  2. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania KERO Inakuwaje gharama ya kutengeneza 'kidude' cha kuwekea umeme wa LUKU ni bei kubwa hivi?

    Hii nchi sijuh uhuni itaisha lini? Hv hili shirika ni huduma gani wanayoitoa kwa mwananchi hadi akajihisi fahari?
  3. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Sasa itakuwaje 🤔🤔
  4. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Sasa itakuwaje 🤔🤔
  5. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Ni zama za ukweli na uwazi. Ukweli ni kuwa Lindi na Mtwara ni mahali pabovu kwa malezi ya mtoto wa kike

    Ni vile tu ardhi na watu wake havihamishiki ila hii mikoa ilitakiwa tuwahamishie Zanzibar wakale urojo
  6. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Wauza migahawa acheni upumbavu, hakuna chai bila majani ya chai.

    Nimewahi kwenda pale Morogoro, soko la chief kingaru nikaona mahindi ya kuchoma nikanunua moja Wee saa ngapi nisikute muhindi wa kuchomwa umewekewa tomato sauce na pilipili 😂😂😂 Aisee niliutupa
  7. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Kwamba Pipitida ana maisha mazuri kushinda Mimi kwa kutikisa makalio tu?

    Mbinu zilizo mfanikisha mwanamke , mwanaume usitie pua utaaibika vibaya sana
  8. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Mabadiko Baraza la Mawaziri Yatangazwa

    Au ulikuwa unazungumzia live ya kwenye hitman?
  9. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Mabadiko Baraza la Mawaziri Yatangazwa

    Token hapa na Ramli zenu chonganishi
  10. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Mabadiko Baraza la Mawaziri Yatangazwa

    Mzee wangu hapa umechemka tangu lini teuzi zikawa mubashara?
  11. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Wenzangu mnaishije na jirani anayefungulia sabufa hadi mwisho

    Nyumba kama ni ya kupanga isikupelekeshe ww hama muachie ushindi Kwenye maisha ukiona unamuonya mtu aache tabia fulani na haachi muelewe Kuna watu hawana furaha nyingine zaidi ya ile mnayoiona ninyi
  12. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Wi-fi tumenunua na wote unabadilisha password kisa mwezi mmoja sijalipia

    Inaonekana ww una roho tukose wote😂 Hiki ni kiashiria mojawapo cha kuelekea kufuzu mafunzo ya unafiki na uchawi NTA level 1
  13. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Heche, Lema wakutanishwa kuyajenga

    CCM wakiona hii wanasonya😂😂
Back
Top Bottom