Recent content by Joshi Kanji

  1. J

    JamiiForums Tanzania sababu za TZ kushinda ICJ na MALAWI hizi hapa

    Kichwa cha habari na mada vinagongana. Kichwa kinasema sababu za Tanzania "kushinda.....hizi hapa", somo la ndani Tanzania tusiende ICJ! Is it me, who see this alone?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    Breaking news: Kamati ya Bunge Ardhi Maliasili na Mazingira imeamuru jengo pacha na liliporomoka linalo milikiwa na mbia yule yule na NHC libomolewe ndani ya siku 4 Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo Mh James Lembeli baada ya kutembelea jengo lililobomoka leo. Katiaka ziara hiyo...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Gorofa jingine la NHC nusra kuanguka (hali ya hatari yatangazwa)

    .....napita tu.....
  4. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA taifa vipande vipande! Soma barua hii ya Zitto

    Chama kina utaratibu wake wa kushughulikia haya, tuwe watulivu na kusubiri maamuzi ya viongozi. Tusi hukumu watu hapa hatuna facts hiyo barua yenyewe hatuna uhakika kama ni genuine au ya kutengeneza. Tuvute subra wakuu.........
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Batilda Amsalimia Mhe. Ruto "Shikamoo"

    Huyu nae vipi....
  6. J

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

    Huyu owner mwingine kishatuambia "relaxed till then.." sasa sijui hii till then ina maana lile jengo pacha jirani pindi litakapo poromoka au sijui nini.... Babu wa watu wa kihindi anasulubiwa peke yake lupango huko. Bongo ni zaidi ya uijuavyo...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

    Mkuu hats off! Unapaka mavi kwa blush!
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    Now you are talking.......... Umekuwa kama ndimu, hutoi maji mpaka ukamuliwe!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    Mkuu kinachotisha zaidi watu wa karibu wa Mchechu ndio hawa KUCHE aka JamiiBora, utaipata wapi "jamiibora" ikiwa maghorofa yanaanguka kila "KUCHWA"
  10. J

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CHADEMA kata ya Iguguno - Singida arudisha kadi

    Kweli Chadema sasa tishio, yaani katibu kata wa ushagoo huko kurudisha kadi ni big news!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

    Rudi kwa jina la awali la KUCHE na umtaje Joshi Kanji ni nani acha kuruka ruka na kubadili majina utoto huo. Nataka niku hakikishie jamaa yako Mchechu hatofanywa chochote hivyo usiwe na khofu mkate wako bado upo tu, na hao "WENYE mamlaka" hawana haja ya kusoma hapa, uozo uliopo kwenye serikali...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    KUCHE aka JamiiBora, Unapo badili majina jaribu kuwa a little bit smart, ( rejea kwenye nyekundu hapo ) Ushauri wa bure anzisha thread ya maafa ya Arusha tuwajue wa kuwajibika. Huu utoto wa kuandikisha majina mapya every now and then hausaidii katika kumtetea rafiki yako
  13. J

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

    Naona sasa hoja zimeisha vimebaki vioja!, wenye akili zao washakustukia unataka kumuokoa rafiki kwa kumjadili mtoa hoja badala ya hoja. Kwa hiyo sasa mada ni Joshi Kanji ni nani, kaoa karibuni, kijana sio riziki, (mkorogo) m-mbeya ana majungu yale yale alipokuwa shule nk. Endelea kuporomosha...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

    Sasa kama ningewataja hao kwa majina na kumuacha Mchechu mtu mwingine angeniuliza mbona Mchechu umemuacha! Hakuna mahala niliposema hao wengine hawahusiki bahati wengi washakamtwa na kesi zipo mahakamani, tatizo lako ni kutajwa Mchechu tu? Bahati mbaya zaidi kuliko zote ni nchi imeruhusu watu...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Mlima wa hifadhi wauzwa bila ridhaa ya wananchi!

    Nchi yote ishauzwa seuze huo mlima wa hitombi ( majina mengine haya mtihani hata kutamka)
Back
Top Bottom