Recent content by joserene

  1. J

    JamiiForums Tanzania Zitto amemtuma ofisa wake kuisemea CHADEMA kuhusu Lowassa

    Ofisa mmoja wa chama kiitwacho ACT ambaye mara kadhaa amenukuliwa akiwa ni msemaji wa chama hicho ameandika na kueneza habari mtandaoni kuwa kada mwandamizi wa CCM Edward Lowassa anahamia CHADEMA! Inashangaza kidogo! Ama ni kwamba wahusika wa chama hicho hawana uratibu wa mawasiliano kiasi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Fedha za kuhonga wajumbe wa NEC ya CCM zakamatwa!

    Yeah ni kweli lkn haija thibitishwa km fedha hizo ni za nani
  3. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa UKAWA wanajua baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu wataendelea kuwa wapinzani

    mkuu nakubaliana na ww, hawa jamaa wasipokuwa makini watapambana na constant struggle of power, na bila kuwa ni nia njema tutaingia kwenye uchaguzi bila UKAWA ngoja tusubiri tuone yeah
  4. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa UKAWA wanajua baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu wataendelea kuwa wapinzani

    VIONGOZI WA UKAWA WANAJUA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA HUU WATAENDELEA KUWA WAPINZANI: Hodi dimbani wana jf, napenda kuwasilisha mada hii kwenu juu ya mustakabari wa taifa letu baada ya uchaguzi mkuu, oktoba mwaka huu na projection ya hali ya kisiasa nchini kwenye serikali ya awamu ya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuendelea na sera ya helikopta tatu jimboni Kalenga.

    Asante mkuu, hata mimi nashindwa kuelewa huyu mtoa mada ha elewi nn, sababu kila kitu kipo wazi.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Profesa BAREGU ndiye kinara wa kupinga dual citizenship

    kitu cha kwanza cha kufaham ni diaspora na dual citizenship ni vitu viwili tofauti, alafu wakat mwingine tusipende kumfurahisha kila mtu sababu ni kitu kisichowezekana. Dual citizenship is something very risky, let's not be blinded by investment. Hasara zinazoweza sababishwa na dual citizenship...
  7. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuendelea na sera ya helikopta tatu jimboni Kalenga.

    Unajua mada zingine mpaka zinakera, jaman kama huna cha ku-post, em kaeni kimya. Yan mnakera, jaman acheni kutumika na wanasiasa. Yan mnafanywa kuwa vipaza sauti vya wanasiasa wasio na maslah kwenu. CDM, CCM vyote ni vyama vya siasa na vitabaki kuwa ivo na thaman ya hivi vyama haiwez fanana na...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunaaminishwa vibaya kuhusu CHADEMA

    Mtoa mada una valid point na mimi nakubaliana na wewe kwa 100%. Watanzania hatutakiwi kuwa ns mawazo mgando,eti cdm wakichukua dola tutakuwa na maisha bora zaid kuliko hivi sasa kwa kupima kauli tu za viongozi wa cdm na si utendaji kazi wao. Kwanza tukiangalia migogoro iliyopo ndani ya cdm...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ni mwana CHADEMA gani atakayesimama kifua mbele kusherehekea matokeo haya?

    Huo ndio uamuzi wa wapiga kura, watanzania wamesikiliza sera za cdm na wameona ni heri waendelee kukiamin cha cha mapinduzi na mimi baunga mkono maamuzi ya watanzania wenzangu
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rai kwa watanzania kuelekea uchaguzi mkuu 2015

    Ni kweli kabisa,
  11. J

    JamiiForums Tanzania Rai kwa watanzania kuelekea uchaguzi mkuu 2015

    Ni kweli lakini utakubaliana na mimi kwamba kiongozi mzur ni yule anaeitekeleza ilani ya chama chake lkn kwa kusimamia msimamo nz misingi ya utawala bola Kiongoz ambae tunaitaj ni yule mwenye kusimamia ilani ya chama chake lkn vile vile mwenye uwezo wa kusema hapana kwenye mambo yanayoweza...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rai kwa watanzania kuelekea uchaguzi mkuu 2015

    Ni sawa kabisa unacho sema na wala sipingani na wewe, ila ninacho maanisha, chama ni taasisi kubwa kinacho jengwa chini ya itikadi moja lakini tatizo linakuja ndani ya chama wengine wanakuwa na maslahi binafsi. Sasa watu kama hawa hatuwezi kuwachagua eti kisa tu wanatoka ndani ya chama tulicho...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Rai kwa watanzania kuelekea uchaguzi mkuu 2015

    Mpaka hapa tulipo nchi yeti si changa, tangu 1961 tumevuka mabonde na milima ambayo ni matokeo ya Tanzania ya leo. Kama taifa tumepiga hatua kwenye mambo fulani vilevile tumechelea kwenye mambo fulani. Hivyo basi hata wananchi pia hatuwezi kuwa na mitazamo ile ile. Ni miaka 53 tangu tupate...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Vijana na mawazo potofu juu ya CHADEMA

    In some extent you're right.....!!
Back
Top Bottom