Am Josephina from Dar es salaam, nimeajiriwa, nina miaka 33, msomi mwenye elimu ya chuo kikuu, mwembamba sio mrefu sana wala mfupi ni wa wastani, chocolate colour nimeokoka nampenda Yesu hivyo nina hofu ya Mungu moyoni mwangu sambamba na hilo ni mbunifu wa mambo mbalimbali na nafanya kazi kwa...