This is Great news kabisa...
Vipi kuhusu Durability ya Majengo ya interlocking blocks vs majengo ya Block, na Je kwa nin watu wanapenda kutumia Blocks kuliko interlocking wakat ni cut cost, samahan mkuu niko curious sana🤭🤭
Habarini wakuu, napenda kujifunza juu ya Machine za Unga za Tanzania na zile za China zinatofautiana nin?!
Ubora wake ukoje!kama mtu anaanza biashara hii ya kutengeneza Unga utamshauri aanze na machine zipi!?
Ukizingatia lengo ni kiwanda kidogo lakin kinachozingatia ubora wa hali ya juu! Kuuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.