Nakumbuka siku wabunge wanapitisha bajeti ya serikali ya 2017/2018 kulikuwa na mbwembwe za ajabu sana,, lakini kiuharisia bajeti ilijaa matumaini kuliko matarajio halisi,, na ndiyo maana leo hakuna wizara inayoweza kujinasibu kuwa kati ya pesa ilizokuwa imeomba zote ilipewa haipo wizara zote...
Barabara na ndege bila kuboresha maisha ya watu ni sawa na bure,,, shilatu fikilia kidogo tu kuhusu bei ya pamba iliyotangazwa na serikali alafu weka uwiano wa bei hiyo na mfumko wa bei za bidhaa za viwandani,, je mkulima hapa anatoboaje?? Mimi ninaamini kwa kuwa sasa hivi uko ndani ya mfumo...
Wajinga ndio waliwao kweli lakini naamini anachokitetea Zitto hata wewe pia kinakuhusu,, kisipokuhusu wewe kitawahusu wajomba na shangazi zako huko kijijini,, na ninaamini nafsi yako ni shahidi muhimu sana katika hili.
Soma katiba ya nchi vizuri ili uelewe,,mamlaka ya bunge kwa rais na mamlaka ya rais kwa bunge,, rais hawezi kuvunja bunge alafu akaendelea kuwa rais wa nchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.