Recent content by Joseph41

  1. J

    Changamoto ya mfumo wa nactvet kushindwa kutoa avn

    Hii hata Mimi imenikuta ni wiki imeisha sasa naambiwa hivyo hivyo, sasa sijui mpango wao ukoje, ni vyema wakapitia mfumo wao na kutoa ufafanuzi zaidiii
  2. J

    KERO NACTVET hawaoneshi ushirikiano kwa wanafunzi wanoomba AVN number kwa ajili ya matumizi ya kuomba mikopo na vyuo

    Ikiwa Leo ni siku ya nne, najaribu kuingia kwenye system ya "NACTVET" Kuomba "AVN NUMBER" lakini sifanikiwi licha ya kuwa nimejisajili, ila system haijanipa nafasi ya kutengeneza password, na hata siwezi kuingia kabisa, na mbaya zaidi mfumo unload tu Wala hata haufunguki. Ikiwa zimebakia siku...
  3. J

    Kuverify matokeo NACTE

    Ikiwa Leo ni siku ya nne, najaribu kuingia kwenye system ya "NACTVET" Kuomba "AVN NUMBER" lakini sifanikiwi licha ya kuwa nimejisajili, ila system haijanipa nafasi ya kutengeneza password, na hata siwezi kuingia kabisa, na mbaya zaidi mfumo unload tu Wala hata haufunguki, Ikiwa zimebakia siku...
  4. J

    KERO Wizi kupitia Mita za umeme (LUKU)

    Sasa najiuliza kwani hizo za Kila mwezi wanazonikata naponunua luku, zinaenda wapi na hilo deni limetokea wapi? Maana kama ni hayo ni mwezi wa pili nimelipia waliyosema kuwa ni deni zaidi ya 6000, na sasa naambiwa deni ni 22,500 . Sasa hiyo ni ya lini na wakati Mimi kwenye nyumba hiyo nimelipia...
  5. J

    KERO TANESCO kuna shida gani mpaka niambiwe nina deni la Tsh 18,000 kwa mita iliyofungwa Septemba 2023?

    Hiyo sio kwako tu ndugu, ni wengi sana tunakumbana na hizi KERO, yaani na Mimi imenikuta hiyo zaidi ya mara mbili, na huku umeme nanunua Kila mwezi, je hizo zinazokatwa zinaenda wapi, na hilo deni latokea wapi??
  6. J

    TRA: Hatuhusiki na ukusanyaji wa Kodi kupitia LUKU

    Naomba mifumo yenu muiweke sawa, maana huwezi kukwambia mwananchi kuwa anadaiwa tozo zaidi ya 20,000 kwenye MITA na Kila mwezi anaponunua umeme tozo zinakatwa?
  7. J

    KERO Wizi kupitia Mita za umeme (LUKU)

    Kuna changamoto ambazo hatuzielewi sisi kama wananchi kuhusu ukusanyaji wa Kodi ya jengo kupitia "Luku", na Mimi naomba kupata ufafanuzi Kwa msaada pia wa wananchi wengine, yaani mimi nimekuwa nikinunua umeme Kila mwezi, na wanakata wakati mwingine hadi 6000 eti ni deni la pango, lakini Cha...
  8. J

    Tozo za bila kufuata Sheria ni chaka la ufisadi

    Kuna changamoto ambazo hatuzielewi sisi kama wananchi kuhusu ukusanyaji wa Kodi ya jengo kupitia "Luku", na Mimi naomba kupata ufafanuzi Kwa msaada pia wa wananchi wengine, yaani mimi nimekuwa nikinunua umeme Kila mwezi, na wanakata wakati mwingine hadi 6000 eti ni deni la pango, lakini Cha...
  9. J

    Hivi naweza kujenga nyumba kwa mshahara wa laki 5 kwa mwezi?

    Kwa hali hii hata watanzania wanakata tamaa ya kuishi Tanzania, na ninashauri ni vyema mambo kama haya wangekuwa wanakusanya data kutoka Kwa wateja wao na kuwashirikisha mambo kama hayo, maana wao ndio wanaotoa hizo Kodi,na sio hao wanaoziweka.
  10. J

    Hivi naweza kujenga nyumba kwa mshahara wa laki 5 kwa mwezi?

    Hapa mamlaka husika waangali jambo hili Kwa jicho la tatu, inasikitisha kukata tozo zote hizo, na unit wangeoneza sasa ili ziendane na kiasi Cha pesa chenye mteja anatoa. Yaani nchi yetu kumekuwepo na tozo nyingi za ajabu ajabu lakini maendeleo duni.
  11. J

    Je, makampuni ya simu yanatuuza kwa makampuni ya betting? wanapata wapi namba zetu?

    Binafsi Kila siku napata hizo messages za "freemason, betting, waganga, na zaidi hata kampuni za kutoa mikopo", sasa hii najiuliza wanapata wapi namba zangu za simu??
  12. J

    SoC04 Stories of Change (5-25 years)

    TANZANIA TUITAKAYO. Ni vyema serikali pamoja na wananchi wote Kwa ujumla kujiweka kwenye mazingira mazuri yasiyokuwa ya uovu ili kuepuka matatizo mengi katika maisha kama vile; kuepuka rushwa, utapeli na wizi, kutumia Mali za umma na binafsi Kwa uaminifu Mkubwa kabisa kama tulivyoamriwa na...
  13. J

    KERO Baadhi ya shule za sekondari na msingi zinatoza wanafunzi hela ya mitihanii kila mwezi na huku wanalipa ada

    Mwisho wa siku watu wanakata tamaa kufuatilia vyeti vya kuzaliwa ambavyo ni hakika yao ya msingi. Na zaidi wanashindwa kupata huduma za msingi kama vile; shule, bima ya afya, n.k. Hebu tafadhali tufahamishwe ili tujue ni utaratibu gani upo Kwa nchi nzima, na zaidi hicho cheti kinachukua muda...
  14. J

    KERO Baadhi ya shule za sekondari na msingi zinatoza wanafunzi hela ya mitihanii kila mwezi na huku wanalipa ada

    Yaani unakuta mzazi anaenda ofisi za Rita kufuatilia cheti Cha mtoto wake, anaambiwa gharama kubwa hadi anauza ng'ombe ili akalipie cheti kimoja! Tunaomba tupate utaratibu ukoje kutoka Kwa wahusika
  15. J

    KERO Baadhi ya shule za sekondari na msingi zinatoza wanafunzi hela ya mitihanii kila mwezi na huku wanalipa ada

    Yaani unakuta mzazi anaenda ofisi za Rita kufuatilia cheti Cha mtoto wake, anaambiwa gharama kubwa hadi anauza ng'ombe ili akalipie cheti kimoja! Tunaomba tupate utaratibu ukoje kutoka Kwa wahusika.
Back
Top Bottom