Recent content by joseph2011

  1. J

    Lowassa apotezwa

    Mgombea urais wa marekani hawezi kukimbia midahalo ya marekani kwenda kuongelea aljazeera akategemea kupata kura,Marekani. Ktk nchi hii ndio nashangaa wazo kama hili linatolewa. naanza kuamini sasa mgombea wa ukawa ni msanii na kuna hatari ya kushabikia mtu laghai sana.
  2. J

    Magufuli Si lolote si chochote kwa Mfumo wa CCM

    dhambi yote anabeba Mbowe ambaye ni mungu wa chadema kila atakachosema ni sahihi. abajua hali lakini anafanya exploitation kutokana tu na tamaa ya. mgombea.
  3. J

    Magufuli Si lolote si chochote kwa Mfumo wa CCM

    inawezekana watanzania mpaka sasa hatujui rais bora ni yupi. kipaji cha kuongea watu wakafurahi bila utelezaji si sifa za raus. kuwa mtu wa watu na kuchagua washikaji ni udhaifu mkubwa. utafuta fundi kujenga nyumba yako akakupa maelezo mazuri kila aiku lakini nyumba haijengwi si fundi mzuri...
  4. J

    Magufuli Si lolote si chochote kwa Mfumo wa CCM

    qualities za urais hazipimwi kwa viwango vya wanadamu. mungu anamtaka atakayeiondoa nchi kwenye ufukara. kwani wenye qualities wamewafikisha wapi mpaka sasa? hayi mashindano ya urembo Hapa kazi tu!
  5. J

    Magufuli Si lolote si chochote kwa Mfumo wa CCM

    usiendelee kulalamika na wewe kama uliowataja. msimu wa mabadiliko umefika na mungu mwenyewe analisimamia hili. msimu wa watanzania kuitwa masikini na kudharauliwa mataifa ya kigeni umepita. taifa hili linalwenda kuwa taifa tajiri na litalalovutia watu wa mataifa mengine.
  6. J

    Magufuli Si lolote si chochote kwa Mfumo wa CCM

    kati ya CCM na Mungu nani mkubwa? bila kujali rais ajaye anatoka chama kipi, mungu akitaka mabadiliko kwa watanzania lazima yatokee. Mungu hateui rais,mtarajiwa kwa kuiogopa ccm. yule unayefikiri hafai tangu sasa nakuhakikishia ndiye mungu aliyemchagua. Achana na tabiri za manabii na mitume...
  7. J

    Jaji Sinde Warioba kanishangaza

    mimi sina chama ila kwa viwango vidogo vya kufikiri vya wafuasi wa ukawa bora tuendelee na CCM. Nasikia kuna unabii kuwa Lowassa ndiye raisi ajaye. Mimi nakuhakikishia Mungu wa kweli hayuko upande wa Lowassa. Mungu yuko upande wa Mafufuli. Mungu siku zote chaguo lake linatizamwa kama dhaifu...
  8. J

    Mbowe: Kikwete ameteua wanajeshi na watu wa usalama kuwa wakuu wa tume ya uchaguzi

    mkuu mimi bitajiunga ikiwa mbowe, lowassa,sumaye watatangulia na wakafa. sifuati mihemko ya kijinga
  9. J

    Mabadiliko bila kujishugulisha labda upake karolaiti

    tufike mahali tuwaambie wanasiasa waache kutudanganya. bahati mbaya watanzania wenyewe wanapenda kudanganywa. mgombea fisadi,wafadhilj wakuu mafisadi, sera za uongo lakinj ndio wanavitaka. kama kichwa cha mwenda wazimu vile.
  10. J

    Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    Lowassa amebeba roho ya anguko, lazima ataanguka JPM ndie atakayeshinda hii ni kwa mujibu wa Mungu muumbaji sio mungu wa TB joshua,gwajima na mungu wa freemason. Mungu hasahihishwi.
  11. J

    Kwanini tuaminishwe kuwa Mhe Lowassa anaumwa ilihali anapiga kampeni ya kufa mtu?

    jimbo lake,la ubunge vipi? masai wana ajira za kulinda mijini. kwani alishindwa kujenga vyuo vya ufundi? monduli sioni kama imepiga hatua kubwa kimaendeleo kipindi chake cha ubunge. maajabu yapi atayafanya kitaifa? jaribuni kuwa na upeo, maendeleo yanaletwa na watu wenyewe, hskuna mtu...
  12. J

    Hawa ndio Wafadhili wakuu wa CHADEMA ambao Mbowe hataki kuwataja hadharani

    mungu wa lowassa anatafuta wafadhili mafisadi ili mumtambue mungu huyu ni wa vipi.
  13. J

    Hawa ndio Wafadhili wakuu wa CHADEMA ambao Mbowe hataki kuwataja hadharani

    duniani kuna miungu mingi. JK tuliambiwa ni chaguo la mungu na lowassa halikadhalika. Kuna tofauti ya mungu wanaye mtaja na Mungu aliye juu ya yote, vyote na wote, Mungu Muumbaji wa mbungu na nchi.
  14. J

    Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    lowassa hakuwa madarakani lakini ametajwa sana kwenye ufisadi hadi amekuwa maarufu. Kutajwa kwa sifa nzuri kama mandela au sifa mbaya kama wena sepetu zote zibakupa umaarufu.labda nikuulize ulikuwa unaishi nchi gani wakati richmond ikutajwa na vyimbo vya habari? Eashabiki ea ukawa mbona mna...
Back
Top Bottom