Recent content by Joseph Tunu

  1. Joseph Tunu

    Mkuu wa chuo cha Ufundi Arusha yamkuta, atimuliwa kazini baada ya kubeza juhudi za Serikali kununua ndege

    Jamaa kajiwekeza, Yeye, Masika na Erick Mgaya walipiga kwa kwenda mbele. Kufuru yote hiyo ni jeuri ya madaraka kidogo aliyokuwa amepewa na mshiko wa matumizi mabaya ya madaraka waliyopewa. Waliiba sana na kujinufaisha wao binafsi, karibu kila senti ya Chuo walikuwa wanaitumia kama yao na siyo...
  2. Joseph Tunu

    Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam, Prof Ndomba hana uwezo wa kuiongoza Taasisi hiyo, abadilishwe

    Aliyekuwa anamharibia Prof Kondoro DIT ni Masika. Bila kujali jinsi Masika alivyokuwa anamharibia, Prof Kondoro, kiumbe mwenye upendo wa pekee alimpendekezea vizuri Masika akapata kuwa Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha. Kule Bwana Masika alijifanya Mungu mtu. Masika alijisahau akadharau watu, akala...
  3. Joseph Tunu

    Mwalimu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC), adakwa na TAKUKURU Gesti akiwa na Mwanafunzi wake

    Masuala ya ngono Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) ni kawaida na imezoeleka. Muasisi wa ngono chuoni hapo ni aliyekuwa Mkuu wa chuo hicho aliyeachishwa kazi 2017 kwa sababu mbalimbali ikiwemo rushwa, ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka. Tabia ya ngono iliendelezwa na walioachwa kukaimu nafasi...
  4. Joseph Tunu

    Rushwa Imekithiri Baraza la Ardhi na Nyumba Arusha

    Wewe ni vipi, mbona unaficha wala rushwa? Kuna Mwenyekiti anayeitwa Mdachi na Karani anayeitwa Kachenje ni wala rushwa mashuhuri pale Baraza la Ardhi na Nyumba - Arusha. Mdachi alipata shida ya kupewa mkataba kwa miezi kadhaa, baada ya kupewa mkataba sasa anachukua rushwa kama njia ya kufidia...
  5. Joseph Tunu

    Ni hatari kuitangazia dunia habari za ugunduzi usio rasmi

    Huenda ni jaribio zuri, ila lipo jambo la kufikirisha kidogo. Kuna mapungufu gani katika helikopta zilizopo lililopelekea utengenezaji au ugunduzi mpya? Ni tofauti gani iliyopo kati ya helikopta zinazoruka zilizopo na hii mpya inayodaiwa kugunduliwa? Ikiwa kwa muujiza wa Mwenyezi Mungu...
  6. Joseph Tunu

    Ubadhirifu na Ufisadi wa Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha sasa ni Bayana

    Maavi, eti mtaalamu wa Structural steel Design and Detailing, waulize wataalamu wa kitu hicho, unayemsema wewe hayumo. Kwa taarifa yako DIT unayosema hakuwahi kufundisha somo lolote, TCA/ATC nako hakuwahi kufundisha somo lolote. Mtu wa aina hiyo katika ulimwengu wa kitaaluma hayumo. Huyu...
  7. Joseph Tunu

    Mwizi aendelea kuiba na kusema hapa ni kazi tu

    Huyo ni mwizi mzoefu na anafahamika tangu akiwa DIT. Ni bingwa wa kugombanisha watu ili yeye apate mwanya wa kuiba.
  8. Joseph Tunu

    Ulafi wa Mkuu wa Chuo cha ufundi Arusha na hatima ya elimu inayotolewa na chuo

    Wewe unaweza kuona ni majungu lakini wengine wanaona ni makarai na wengine wanaona ni ufisadi. Kama kwa kutumia madaraka yake ya kiofisi anaweza kuajiri mtu akafanye kazi kwenye mashamba yake ya maua na hatimaye mtu huyo alipwe mshahara na serikali ni jambo la kawaida? Hiyo si sawa na mfanyakazi...
  9. Joseph Tunu

    Ulafi wa Mkuu wa Chuo cha ufundi Arusha na hatima ya elimu inayotolewa na chuo

    Du ! Habari zilizopo ni kwamba nyumba nyingi za watumishi zinakarabatiwa kwa hela kubwa na ambayo inaweza kujenga nyumba mpya. Ni ukweli usiofichika kwamba toka mishahara ya wafanyakazi ianze kukatwa inakadiriwa tayari kiasi cha Tsh 300,000,000/= kitakuwa kimesha kusanywa. Ajabu ni kwamba...
  10. Joseph Tunu

    Ulafi wa Mkuu wa Chuo cha ufundi Arusha na hatima ya elimu inayotolewa na chuo

    Ni kweli kabisa, Mkuu wa chuo anaonekana kuwa na ulafi. Hivi karibuni alipitisha sera ya kupaki magari akilenga kuendelea kukata mishahara ya wafanyakazi, kulipia paking ya magari yao. Alikata mishahara kulipia nyumba wakati yeye hakatwi, yeye ana maji lakini chuo kizima hakina maji kwa zaidi ya...
  11. Joseph Tunu

    Mrisho Gambo ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ntibenda atenguliwa

    Nachukua nafasi hii kumpongeza Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha mteule Mh Mrisho Gambo. Ni ukweli usiopingika kwamba kuna ufisadi wa hatari sana Chuo cha Ufundi Arusha. Maombi makubwa kwako kwa sasa baada ya kuapishwa na Mhe. Rais na kuanza kazi rasmi kama Mkuu wa mkoa ni kuagiza uchunguzi wa kina...
  12. Joseph Tunu

    Ipi siri ya Dr. Kamugisha Kazaura kuendelea kuwepo TTCL enzi hizi za Dr. Magufuli

    Kutumbua bila kumpa mhusika nafasi ya kujitetea si mzuri kwa hali ya kawaida lakini kuna watendaji ukiambiwa waliyotenda inatia hasira sana ambayo inapelekea kuona kwamba hakuna sababu ya kumpa nafasi ya kumsikiliza. Mtu mwenye akili yake timamu kwa mfano akafuatilia yanayotendeka Chuo cha...
  13. Joseph Tunu

    Kimenuka: Wakurugenzi wa NSSF wasimamishwa kazi kupisha uchunguzi

    Bodi ya Chuo cha Ufundi Arusha haiwezi kufanya kama ilivyofanya Bodi ya NSSF? Sababu za kutakiwa kuchukua hatua ni hizi zifuatazo: a)Mkuu wa chuo alianza kufanya kazi chuo cha ufundi Arusha mwezi Septemba 2010. Mkuu wa chuo aliishi Hotelini kwa kipindi cha miezi mitatu (3) kuanzia Mwezi...
  14. Joseph Tunu

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Ni kweli kabisa, mtu akipitia kwa makini sehemu mbalimbali za baadhi ya taasisi za umma kuna madudu mengi kiasi cha kutisha. Pengine suala la hiki chuo halijafika kwa wahusika ile waweze kuchukua hatua stahiki. Kwa ufupi haya ni miongoni mwa yaliyofanywa na kuendelea kufanywa Chuo cha Ufundi...
  15. Joseph Tunu

    Kimenuka: Wakurugenzi wa NSSF wasimamishwa kazi kupisha uchunguzi

    Mtu makini akipitia Chuo cha Ufundi Arusha atakuta majizi si chini ya matatu, ni wakati muafaka sasa wa kuyafuatilia na kuyatumbua.
Back
Top Bottom