Recent content by Joseph Obimbo

  1. J

    Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

    Asante ndg yngu kw mchanganuo mzr hata Mm nmetoka na kitu japo cjauliza swali
  2. J

    Biashara ya vipuri vya pikipiki: Ushauri, michango, mawazo

    Kuna mtu alianza na laki 5 Leo hii tunapozumza ana maduka makubwa mawili za spea part za pikipiki, amejenga mji ana usafiri magari mawili,kwhy 10m-15m Kama hana ina masaa asifanye biashara iyo, aanze na kiasi hicho alichonacho cha msingi aanzie na vitu vidogo vinavyoaribikaga mara kw mara, kiasi...
  3. J

    Biashara ya vipuri vya pikipiki: Ushauri, michango, mawazo

    Hapo mchawi ni Fundi tu, ukipata Fundi mzur tu wanakuja wenyew
  4. J

    Biashara ya vipuri vya pikipiki: Ushauri, michango, mawazo

    Samahan ndg yangu unaweza ukajua web site zao wanazotumia Kama unajua nisaidie
  5. J

    Biashara ya Duka la Rejareja: Ushauri, Mchanganuo, Changamoto na Namna ya Kutunza Kumbukumbu

    Ndugu uko vizuri yaani umemuelesha vzr Sana tena kisomi, asilimia kubwa watanzania tumeelekeza jitihada zetu kuuza bidhaa badala ya kuzalisha bidhaa, hongera sana nmekusoma sana, na ndo mipango yngu nilipanga kufanya ivo utekelezaji ndo upo njiani
  6. J

    Huu mwaka bora kuacha kazi na kujiajiri

    Kumbe nachati na mtu anaeishi kw dadake, usijifanye kuw ww ndo unajua kila kitu, ujui niko wapi na nafanya nn? Kwhy kama ww umeshindwa usilazimishe fikra zetu zifanane
  7. J

    Huu mwaka bora kuacha kazi na kujiajiri

    Siyo lazima afanye kilimo ndg vitu vya kufanya vipo vingi ukiwa na mtaji siyo lazima kilimo kama hailipi, tatizo baadhi ya wafanyabiashara hawabadiliki.
  8. J

    Huu mwaka bora kuacha kazi na kujiajiri

    Kwani umesikia wamefunga biashara zao
  9. J

    Msaada: Nataka kuacha kazi ya kuajiriwa na nina mkopo benki niliochukua na kuweka mshahara wangu dhamana

    Siku hizi benk ukitaka kulipa kw wkt riba wanakutolea kwhy wanakudai milioni 8 unaweza ukalipa million 5 kawaida tu
  10. J

    Mlioacha kazi za kuajiriwa na kujiajiri wenyewe nahitaji msaada wenu

    Mfanyakazi yupi, halfu mnawachukulia wafanyakazi ni watu wanaofanya kitu kw kukurupuka hawafanyi utafiti, au haijawakuta ndo maana, watu wanafungua biashara za milioni 8 mpk 10 lkn hao wanaowaweka ndo wanaowafirisi. Biashara inapoanza inakuw na changamoto lkn changamoto hizo uzipate ww ili uwe...
  11. J

    Huu mwaka bora kuacha kazi na kujiajiri

    Kumbuka watu wanatofautiana kifikra ndg,halfu kwenye biashara kuna ubunifu, kw kauli yko iyo tusingekuw na wafanyabiashara maanake wangeshafunga maduka yao,tz wanaoitaji huduma wko wengi lkn watoa huduma wko wachache
  12. J

    Huu mwaka bora kuacha kazi na kujiajiri

    Hao wa kijijini wanatorokaga mjini hapa, juzi moja katoroka tena katolewa kijijini uko, hao watakupa hasara mpk ndoto yko itaishia hapo, cha msingi kama una uwezo wa kufanya nenda ukafanye nenda ukalee biashara yko ikiw kidogo uikuze iwe kubwa.
  13. J

    Huu mwaka bora kuacha kazi na kujiajiri

    Uko kwenye game iyo lkn ujajitambua, ndo maana hata mtu akija kuanza Leo anakuacha nyuma kwsbb unaifanya kw mazoea, halfu siyo kila anae acha kazi kuja kufanya biashara hatokuja kufanya biashara yko iyo iyo na kw style yko iyo ya kuendesha biashara yko, kumbuka kuna biashara nyingi sana
  14. J

    Huu mwaka bora kuacha kazi na kujiajiri

    Anaebishia kilimo anaumwa na anajiandaa kuw ombaomba, au subiri wanaume walime ww ule,anae zdharau kilimo hajitambui kwsbb kila cku anakula
  15. J

    Huu mwaka bora kuacha kazi na kujiajiri

    Ndg yngu mitaani mtu biashara za laki 8 tu lkn anaesha maisha vizuri hata mfanyakazi haoni ndani, cha kushangaza mfanyakazi ana uwezo wa kukopo milioni 10 lkn maisha bado ya chini
Back
Top Bottom