Recent content by Joseph Nicholaus

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

    Ukweli Ni kwamba uchawi upo Kuna kijana mmoja alikuwa na maendeleo mazuri na familia yake huko Dar ingawa yeye hakuwa mkazi wa hiyo kijana alikuwa yatima wakati akiwa mdogo alilelewa na mbibi furani wa kufikia huyo mbibi alimulea kijana Kama mtoto wake wa kiume maana yeye hakuzaa mtoto wa kiume...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Vifaa tiba vichache hospitali huchochea Vitendo vya Rushwa

    Umeandika vizuri na umeanisha kabisa lakini ndugu Kati ya vitu ambavyo haviwezi kuisha kwenye nchi hii Ni rushwa kwa sababu umekaa mahara ambapo Kuna mlango wa huduma za jamii hivyo lazima utoe ndo upate huduma mfano katika secta ya afya hata Kama Ni wewe ukikataa kutoa mgonjwa wako atakufa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Upi mtazamo wako kuhusu idadi ya watoto wa kuzaa kwa maisha ya sasa?

    Watoto wenye faida kubwa baadae Ni wale walioandaliwa mazingira mazuri katika elimu mfano ukizaa watoto wawili hakikisha kabla hujaongeza mwingine utakuwa umewapeka shule na akaunt tayari umewandalia kwa kumfanya hivyo itakusaidia kujua unataka kuzaa watoto wangapi.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania bila foleni haiwezekani, kila mahali foleni

    Naweza sema Ni upungufu wa wafanyakazi pia Benji inapojengwa haiangalii kuwa Ina wafanyakazi wangapi pia zinatokea dharula Kama vile ugonjwa,ujauzito kujifungua, chakula nk ndo maana unakuta madrisha mengineapo wazi.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Naogopa kupima UKIMWI kwa sababu ya msururu wa niliowachakata

    Nenda kapime Wala usiogope Kama ulivyo na harakaya kupiga kamoja mbio basi hauna we Pima uishi kwa amani acha mawazo pia ukiwa Ni mzima Basi uache maana ukirudia unaupata
  6. J

    JamiiForums Tanzania Yajue mafao ya viongozi wa kisiasa

    Kwani Rais anaipws sh ngap kwa mwezi
  7. J

    JamiiForums Tanzania Tumshauri kijana huyu cha kufanya, muda bado upo

    Tatizo la wasomi wengi huwa wanaenda shule Hadi vyuo kusoma ili wasjiliwe Sasa linapotokea suala la ajila kukosekana Basi hawana la kumfanya wanabski kujuta kwa Nini walisomaea gani hizo ebu kwa mtazamo wa Sasa niwashauli wasomi wanapoenda vyuoni wawe Kama JKT hata Kama hamna ajira wajiajili...
Back
Top Bottom