Recent content by joseph msigani

  1. joseph msigani

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kitaaluma: Niende diploma au nirudie advance level?

    nenda dip kurudia ni usumbuf tyu na kupotza mda wko bure
  2. joseph msigani

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuendelea na masomo yangu (nimekosa ada ya kuendelea)

    kwa mwaka wa kwanza ni mil 2,545,400/= . Mwaka wa pili ni Mil 2,550,400/= JUMLA NI MIL 5,095,800/= Kwa miaka miwil
  3. joseph msigani

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuendelea na masomo yangu (nimekosa ada ya kuendelea)

    Moshi Kilimanjaro Wilaya ya Hai,, ila chuo kipo wilaya ya moshi vijijini hospital ya wilaya KIBOSHO DISTRICT DISIGNATED HOSPITAL (KDDH) Kibosho Msinga
  4. joseph msigani

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuendelea na masomo yangu (nimekosa ada ya kuendelea)

    ni chuo cha kanisa CATHOLIC
  5. joseph msigani

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuendelea na masomo yangu (nimekosa ada ya kuendelea)

    Nipo moshi Kilimanjaro
  6. joseph msigani

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuendelea na masomo yangu (nimekosa ada ya kuendelea)

    Ndug wana JF natumai mu wazma,,, mim ni mwanafunzi wa chuo cha uuguzi Kibosho (KIBOSHO SCHOOL OF NURSING) niko mwaka wa kwanza ngazi ya cheti (CERTIFICATE IN NURSING) nimemaliza muhula wa kwanza na sasa tupo muhula wa pili,, Hivyo wazazi wangu wameshindwa kuendelea kunilipia ada ya mim...
  7. joseph msigani

    JamiiForums Tanzania NACTE yatoa majina ya waliopata nafasi ya kujiunga na vyuo ngazi ya cheti na stashahada 2016/2017

    naomba mwenye kukifahamu chuo cha "kibosho school of nursing" anipe mwongozo wake sababu kwenye website yao awaeleweki...,nawasilisha.
  8. joseph msigani

    JamiiForums Tanzania Nina vocha ya NACTE, mwenye Elfu 40

    Achaga papara,. Umeangalia taree wew au una reply 2?
  9. joseph msigani

    JamiiForums Tanzania Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

    Wamepokea sim? Kama wamepokea wanasemaje kuhusu post?
  10. joseph msigani

    JamiiForums Tanzania Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

    Majanga
  11. joseph msigani

    JamiiForums Tanzania Maelezo kwa waliochaguliwa Usagara Tanga

    Yapo karibun kutoka..,2we na subra
  12. joseph msigani

    JamiiForums Tanzania Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

    Hivi karbuni watatangaza
Back
Top Bottom