Recent content by Joseph Magumula

  1. J

    DOKEZO KERO Wanafunzi madarasa ya mitihani (Bukoba Vijijini) wanaacha shule kwa kukosa michango ya kambi ya maandalizi

    Hilo ni tatizo la kitaifa hapa Dar wanafunzi wanalazimishwa kwenda shule siku ya jumamosi kwa ajili ya kufanya mtihani tu na mitihani yenyewe inalipiwa 1500 cha ajabu wengine hawamo kwenye madarasa ya mitihani yaani darasa la 5 na 6 shule ipo Mabwepande inaitwa mji mpya yaani inakera Hayo...
  2. J

    Usafiri wa Mwendokasi DSM ni tatizo kubwa. Mamlaka zichukue hatua za Dharura

    Ila wakati mwingine madereva wanapark pembeni si kwa ubaya ni kwa sababu mabus yanakuwa yamepandisha joto la engen na akipakia abiria upo uwezekano wa safari kuishia njiani hili nililijua baada ya kumdadisi mmoja wa madereva ni baada ya yeye kufika na Kupark pembeni na baada ya muda mwingi...
  3. J

    KERO Responded Walinzi tunaosimamia Vituo vya Mwendokasi hatujalipwa mshahara kwa miezi mitatu, tukifuatilia tunapigwa danadana

    Hawa CT hawana hata day off ni mwendo wa naandika bandua mshahara wao ni 150000 wana makato mia kidogo yaani akichelewa kidogo kuingia kazini anakatwa akikutwa kasinzia kidogo kakatwa na hawana overtime likizo yenyewe kwa mbinde sana kwa hiyo net salary unaweza kuta anaondoka na 80 au 90 ukweli...
Back
Top Bottom