Kama wameona ni vema kuongeza mhula wa Rais kubaki madarakani...inabidi wauthibitishie umma kinagaubaga kwamba ile two terms ya Rais kubakia madarakani is not sufficient
Vilevile wautangazie umma kwamba, muda wa miaka mitano kwa mihula miwili ya uraisi haitoshi kuiongoza nchi
Waseme na kukili...
Kuna mambo huwa sielewi yamekaa vipi kiutawala
Unakuta mwenyekiti wa CCM mkoa au wilaya anatambulika kama mwenyekiti wa ulinzi na usalama Wilaya au mkowa
Ni kwamujibu wa sheria gani ya utawala??
Ni mwenyekiti wa ulinzi wa wanachama wake au RAIA wote bila kujali chama chake??
Huo uwenyeviti...
Nimetafakari sana juu ya tamko la kujengea ukuta migodi ya Tanzanite Arusha
Kuna mambo ya kujiuliza kuhusiana ya hili jambo
Je, Migodi mingine ambayo kuna wizi wa madini nayo itajengewa ukuta??
Je, mbuga zetu za wanyama nazo zitazungushiwa ukuta??
Je, maziwa na sehem yetu ya bahari itawekwa...
Je, Bunge lina mamlaka ya kufuta kifungu mama na kinacho tengeneza sura ya katiba na mfumo wa utawala bila kushirikisha wananchi??
ZINGATIA
"Legitimacy of the people"
Usalama wa Lissu baada ya kupona na kurejea nchini utwbaki kuwa wa kawaida tu
Nasema usalama wake utabaki kuwa wa kawaida kutokana na nature ya Lissu mwenyewe maana sidhani kama itaweza kubadirika kwasababu katishiwa kuuwawa au/ama kwa kunusurika kuuwawa
Lissu ni mpigania haki,,,hii ndo kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.