Habari ndugu zangu bila shaka mu wazima.
Mimi naomba kusaidiwa kuna mtu yeyote mwenye uzoefu na hii casino au alishawahi kufanya kazi hapo na vipi taratibu zao na mishahara yao na je nafasi zipi zilizopo apo kwa beginners.
Asante.
Habari wana jf bila shaka mu wazima Mimi ni kijana wa kitanzania nimekua nikihangaika kutafuta kazi kwa mda mrefu sana kikubwa kimenileta hapa ni kukuomba wewe ndugu kama utaweza nisaidia tatizo hili.
Elimu yangu: Certificate of tourism and tour guiding,
Na nilishawahi kufanya kazi kama bellboy...
Wakuu habarin za asubuhi naombeni kampuni tano za uhakika ambazo zinakubali hata ukitia tsh=300 zinakubali but nnazozijua Mimi ni 1xbet na mkeka bet tu so please help me
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.