Recent content by Joseph Goebbels

  1. Joseph Goebbels

    JamiiForums China yazindua mpango wa kusafiri kwenda sehemu ya mbali zaidi mwezini

    Kifaa hicho kilichopewa jina la Chang'e-4 kimeruka siku ya leo kutoka katika kituo cha kurushia satelaiti cha Xiachang kilichopo kwenye jimbo la Sichuan Kinatarajiwa kufika mwezini na kutua mapema mwezi Januari mwaka 2019 Kifaa kama hiki kilichtumwa na China kilitua mwezini kikiitazama Dunia...
  2. Joseph Goebbels

    JamiiForums Watafiti wabaini apps zinazofungua matangazo na kumaliza betri bila ya mtumiajiwa simu kujua

    Watafiti wa masuala ya usalama katika kompyuta wamekgundua kuwa kuna applications zilizopakuliwa kupitia Playstore zinazofungua matangazo bila ya mtumiaji wa simu kutambua Application hizo zimepakuliwa zaidi ya mara milioni 2 mpaka sasa Licha ya kufungua matangazo ya biashara kwa siri lakini...
  3. Joseph Goebbels

    JamiiForums Polisi kuanza msako wamiliki wa silaha

    JESHI la Polisi mkoani Mbeya, limetakiwa kufanya ukaguzi na uhakiki wa vibali kwa wamiliki wa silaha ili kudhibiti vitendo vya uhalifu, vinavyotokana na matumizi mabaya ya silaha hizo. Agizo hilo limetolewa jana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, wakati akizungumza na maofisa na askari...
  4. Joseph Goebbels

    JamiiForums Ufisadi wasababisha vyuma vikaze Afrika Kusini, pia kodi yatajwa kuwa kikwazo

    Ufisadi watamalaki Afrika Kusini na kuzorotesha bei ya dhahabu, ongezeko la kodi lapelekea kushuka kwa kiwango cha ajira Wakati Serikali ikipambana kusafisha skendo za ufisadi katika mashirika ya umma bado kupanda kwa kodi kumetajwa kuzorotesha biashara Kodi ya ongezeko la thamani (VAT)...
  5. Joseph Goebbels

    JamiiForums 45 wakamatwa kwa tuhuma za kukutwa na shehena ya Korosho za magendo tani 15

    Watu hao wamekamatwa na shehena hiyo Wilayani Tunduru. Korosho hizo zinaelezwa kuwa na thamani ya shilingi milioni 56 na walitaka kuiuza kwa magendo > Siku ya jana Rais Magufuli alitoa uamuzi wa Serikali kuinunua shehena yote ya Korosho kwa bei ya shilingi 3,300 kwa kilo na kulipa kazi Jeshi la...
  6. Joseph Goebbels

    JamiiForums Faida na Hasara za Mitandao ya Kijamii kwa Vijana: Yaliyojiri katika Mdahalo wa Wanachuo Hoteli ya New Africa

    Hii mijadala ni endelevu naomba kujua lini itakuwepo tena nihudhurie
  7. Joseph Goebbels

    JamiiForums Mchezaji wa zamani wa Juventus Vincenzo Iaquinta afungwa jela miaka 2 kwa kujihusisha na Umafia

    Mwanasoka Vincenzo Iaquinta aliyekuwa akiichezea Klabu ya Juventus na Timu ya Taifa ya Italia amehukumiwa kwenda jela miaka 2 kwa makosa ya kujihusisha na Kikundi cha Kihalifu cha Ndrangheta Iaquinta emekutwa na hatia ya kumiliki vifaa vya milipuko kinyume cha sheria pia amakutwa na bunduki 2...
Back
Top Bottom