BARUA KWA MWALIMU.
Anuani: mahala pema, mahali peponi.
Ndugu Mwalimu,
Heri ya miaka 98 ya kuzaliwa, Mbuya muhandiri! Na imani unakumbuka kizanaki kwakua uliishi uafrika na kufa mwafrika.
Wakati wino huu ukimwagikia karatasi hii nyeupe, mke wako kipenzi Maria ametembea safari ndefu ya miaka...