Wakat simu inazima betri lilikuw na asilimia zaid ya 60, BT nlipokuj kuweka kwenye sm nyngne halikuw na kitu kabisaa... Na simu nimeipima umeme unaonekana hamna kabisa na charge haiingizi
Sent using Jamii Forums mobile app
umewah nunua simu ya kampuni gan then kwenye box ukakuta kuna expiredate?
Mkuu AF unamasihara ya mia 2, kwenye biashar ya lak 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani nimetumia simu aina ya Samsung MegaPlus GT-I9152p, ikiwa haijafikisha hata mwaka mmoja tangu itoke kwenye box, kuna siku (wiki 3 zilizopita) ilijizima ghafla, then ikagoma kuwaka kabisa, hadi sasa.
Kwa wenye utaalamu wa hizi smartphones naomba kufaamu tatizo linaweza likawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.