Recent content by Josbless

  1. Josbless

    Bei za mabasi

    Kuna gari mupya kibao huku mwambie tu anunue zimechoka alete huku Mtwara Utapanda wewe.. Alete vitu vipya huku kama anataka. #Mtwara
  2. Josbless

    Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

    Mi Nina 500000nataka kufuga kuku wa mayai so mkuu naomba nisaidie bossiness plan
  3. Josbless

    Mufindi kasikazini kumekucha

    Watu wangu wa Mufindi kasikazini niungeni mono 2015 naombeni kura zenu kua mbunge wenu
  4. Josbless

    Udsm booom!!

    Ni kweli kabisa
  5. Josbless

    Naomba kujuzwa nauli ya kutoka Dar mpaka Mtwara

    Mtwara - Newala haifiki 10000, nipo Mtwara na nmeenda Newala karbun
  6. Josbless

    NINGEKUWA MUNGU ninge wafanyia WANAFUNZ waliokosa LOAN yafuatayo....!

    :nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa unaongelea kisichowezekana
  7. Josbless

    kwa wale waliochaguliwa stella marian mtwala 2kutane hapa!!

    Your welcom cantöna, sijasoma mtwara ila nimeishi kule for almost 6 months so napajua vizuri . . . . Kama upo fb nicheki joseph alex kalande tutajuzana zaidi kuhusu mtwara, pia this time nimechaguliwa stella maris mtwara university so we'll be together!
  8. Josbless

    Msaada wa kupata matokeo ya form 4 ya mwaka 2002

    Mpe link mkuu, kutoa namba na jina ni ngumu unless awe anajua kapga fresh
  9. Josbless

    New: Fist Selection za TCU,majina yametoka.

    Thanx wadau ngoja nidownload then nichek uwepo wang . .
  10. Josbless

    Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    Unaweza kuthibitisha kauli yako mkuu? Au futa km hauna hakika ulichoandika kuhusu CDM
Back
Top Bottom