Recent content by Jorrowe

  1. J

    JamiiForums Tanzania Dr.Shukuru kawambwa na Mulugo mtaua elimu kabisa mpaka kufika 2015

    kaka bongo hii elimu ni kichwa chako tu,ukiwa bora ww na kazi yako itaonekana pia
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

    Kama humwandai unategemea nn? Tumia sa 1 kumwandaa umckilizie tena.
  3. J

    JamiiForums Tanzania jamani mke wangu analala vibaya sana!!

    Lala na kiboko atatengamaa tu
  4. J

    JamiiForums Tanzania Muhas

    fafanua ww nae,nouma nn?kinatsha kw lip?fanya fasta nakuweit
  5. J

    JamiiForums Tanzania Vipi ofisi za TCU chumba namba 9 na 13 mbona mnaogopwa?

    i seeee....#13 &09 utazan hizo ofis za baba zao,nmemaliza mwez hapo tcu hata tatzo halijasoviwa,hasa kale ka mama na kale ka mkaka fulan abnomal ipo ck
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ina-boa jamani

    haya bhana...!!!bila shaka hujawah soma thread ndef znazoboa hapa jf
  7. J

    JamiiForums Tanzania Uliyechuo take care

    tunasikitka hapa udsm, 1st yr(boy) mwenzetu kakutwa kajinyonga uck wa kuamkia leo lodge 1 hapa ubungo,inavyosemekana alikuwa anapata raha duniani,cjui ikawaje,tafakari rana
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ina-boa jamani

    kale ka mtindo kakutupia thread ndefu hadi wana JF tunaboreka...sio mpango,jaribu kufupisha kidogo ili mtu aisome hadi mwisho,tunasoma info nyingi hapa jf sio ya kwako tu ndugu..??
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaojiunga 1st year wazingatie haya

    thank you very much
Back
Top Bottom