Vipi ofisi za TCU chumba namba 9 na 13 mbona mnaogopwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipi ofisi za TCU chumba namba 9 na 13 mbona mnaogopwa?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by joel amani, Oct 17, 2012.

 1. j

  joel amani Senior Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mm leo napasuka wazi mana nimevumilia sana,ukienda ofisi za tcu hasa chumba no.9 na 13 kuna wahudumu no.9 wa kiume no.13 wa kike,jamani wanajskia na huduma zao ni mbaya tena hawafai kuwepo pale kwani wamefanya ofisi kama za baba zao na hakuna aliyeingia kuhudumiwa akakosa kulalamika huduma mbovu na dharau za hali juu walizonazo wale limbukeni,wanawachafua mpaka wafanyakazi wengine wenye roho nzuri na uchangamfu kama chumba no.4 pia mapokezi wako safi sana na kazi zao,bora waondolewe
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,436
  Trophy Points: 280
  mm nammind yule mlinzi kukataza watu kuingia na mabegi ndani ..nlienda na begi lilikuwa limejaa mipesa akaniambia eti nliache nkasepa zangu
   
 3. j

  joel amani Senior Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mm ndo usiseme walinikatazia kuingia chooni na nilikuwa naumwa tumbo la kuharisha wakasema nichukue bajaji niende sayansi halafu nirudi badae kwenye foleni ya kuingia chumba na no.13,mpaka leo nimeghairi kuhama chuo nitasoma peke yangu songea
   
 4. jaywacnza

  jaywacnza JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 651
  Likes Received: 394
  Trophy Points: 80
  jamaa namba tisa choko tu!wakija wahindi anawahudumia mapema,yaan yule jamaa mrefu mrefu waiti choko tu,wanasababisha kuharibu ndoto za watu kusoma,
   
 5. J

  Jorrowe Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  i seeee....#13 &09 utazan hizo ofis za baba zao,nmemaliza mwez hapo tcu hata tatzo halijasoviwa,hasa kale ka mama na kale ka mkaka fulan abnomal ipo ck
   
 6. THE GREAT CAMP

  THE GREAT CAMP JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 767
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hebu watajeni majina tuwajue, msimfiche mtu kama kweli anafanya maovu.
   
Loading...