Recent content by jorojo

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli: Aliniambukiza UKIMWI, acha ningojee siku zangu nife

    Hv bado hujafa Tu maana hii story niliisoma 2012 ILA hongera Sana maana inaelimisha sana
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli: Aliniambukiza UKIMWI, acha ningojee siku zangu nife

    Mpaka Leo hujafa maana hii story ya mda sana
  3. J

    JamiiForums Tanzania Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

    Magufuli nadhani unatambua chanzo kikubwa cha ufisadi na wanasiasa kuwa wafanya biashara nadhani na naamini mabadiliko ya kweli Kama kweli unania nayo hanabudi kunadi kurudisha azimio la arusha na chaku shangaza hata cc tunaoamini katika mabadiliko azimio limewekwa pembeni kwahiyo tutaendelea na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania UKAWA msipo fanya haya kura yangu mmeikosa 25 0ctober

    kijana umenifurahisha sana kwahiyo kwakuwa chadema wanakula ruzuku zao ndiyo ukipe uhalali ccm ya kuendelea kuzuiya viwanja vya umma, CCM tunaomba viwanja vyetu ni mali yetu vilijengwa na watanzania warudishieni
  5. J

    JamiiForums Tanzania Addis Ababa Treni ya umeme, Dar es salaam BRT Bus arrived. sept 2015

    MCHAWI WAKO NI CCM Tanzania tunajuwa kuuwa tembo na mikataba mibovu tumiwazidi kilakitu ethipia bhasi tu
  6. J

    JamiiForums Tanzania UKAWA msipo fanya haya kura yangu mmeikosa 25 0ctober

    Hili jambo kila siku linazungumziwa hila hatujui kwamba viongozi wapo siriusi kiasi gani katika hili sote tunajua kwamba CCM wamejimilikisha viwanja vya michezo vya umma sasa basi umoja wa katiba ya wananchi(UKAWA) kuweka katika ilani yenu kwamba viwanja vyote vitarudi mikononi mwa serikali kama...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwahili CHADEMA Kibaha mmetuzingua na mtaangukia pua

    posta na haijui kibaha kabisaa
  8. J

    JamiiForums Tanzania ITV jamani, mmenunuliwa?

    labda hamuungi mkono lowassa ndiyo sababu
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwahili CHADEMA Kibaha mmetuzingua na mtaangukia pua

    tunawaelimisha ndugu zetu hawa hakuna kingine zaidi ya hicho
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kwahili CHADEMA Kibaha mmetuzingua na mtaangukia pua

    Kuna mambo ambayo hayatakiwi kufungiwa macho hasa hili walilotufanyia chadema Kibaha mjini katika hali ya kushangaza katika kura za maoni aliyeshinda kuwania ubunge si mkazi wa Kibaha sasa hapo ndo unaona ujinga wa waliopiga kura kuwa kwa kutufanya ss wajinga……………siku zote anayeyajua shinda za...
  11. J

  12. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe atajwa kuwa kiongozi bora wa upinzani Afrika

    Illa saccoss inaendelea vizuri watukumbuke ktk uongozi ss wa kusini
  13. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na harakati za kuua vipaji vya vijana kwenye siasa

    Nawwe unaboa sasa hamjui hiyo Ni saccos yetu wachaga
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi ajivua uanachama CHADEMA

    nawewe una ruzuku nn kwenye saccoss
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mei 28, 2015 ni Birthday ya CHADEMA; inatimiza miaka 23

    SACCOSS imekuwa lakini mpaka leo haina ofisi hata moja wameishia kusubiri sabodo awape msaada
Back
Top Bottom