Recent content by Jorojik

  1. J

    JamiiForums Tanzania Wizara ya elimu Zanzibar yaja juu video ya wanafunzi kucheza muziki (Bonge la Dada)

    Cha ajabu wanafunzi wenyewe ni mafundi wa kukata viuno hadi basi. Waliwezaje kukata viuno namna ile kama wana maadili? Huyo KM alitakiwa kutafuta chanzo cha tatizo badala ya kutibu matokeo.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kati ya Profesa Kabudi na Daktari Samia nani msomi?

    Ila Prof Kabudi ni failure zaidi.
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi: CCM Itahakikisha Katiba Mpya inapatikana

    Watakuja kuwaambia watanzania kwamba katiba mpya haileti ugali mezani😡😡 😡
  4. J

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Mungu: Nimeiombea "graphics card" mbovu - imepona!

    Sasa mbona wewe unaombea PC chakavu badala ya kuomba hizo Dola ununue PC mpya ya kisasa?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Historia ya Bichwa Komwe: Maktaba ya Jamiiforums

    Samahani, hiyo PhD yako huko Ulaya inahusu nini? Nimeuliza kutokana na mambo yako humu JF
  6. J

    JamiiForums Tanzania Historia ya Bichwa Komwe: Maktaba ya Jamiiforums

    Chifu umewaza mbali sana, lakini kwa usahihi mno.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kwanini wazazi wanaosomesha Private schools wanachukia Division 1 za Kayumba Schools

    Hebu weka ushahidi wa hizi hisia zako za uswahilini.
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Mwinyi wa Zanzibar: Nitakopa na Nitarejesha Mikopo. Nitaondoka Madarakani Bila Kuacha Deni Hata Senti 5

    Hivi ni wakati gani kunakuwa na mikopo ya Zanzibar peke yake na ni wakati gani kunakuwaga na mikopo ya Jamhuri ya Muungani wa Tanzania? Au Zanzibar inakopa baadaye inatemgenezwa deni la Taifa la Jamhuri ya Muungani wa Tanzania? Ni lini Tanganyika nayo itakopa na ikajigamba kwamba itarudisha...
  9. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA walipaswa kumwandikia Msajili wa vyama vya Siasa hayo malalamiko yao na Siyo Mkuu wa Majeshi!

    Wajameni oneni huyu kinyonga. Nje ya kijani ana rangi nyingi😡😡😡
  10. J

    JamiiForums Tanzania Wenye uzalendo wa kweli, msijibu threads zinapomponda Polepole, naona zinamiminika. Just ignore them with no response

    Wewe punguani hakunaga adui wa kudumu, usiishi kwa kukariri
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yawezekana Ndani ya mwezi wa Tisa 2025 Jamaa anaachiwa Huru

    Andika wewe tuone kama itakuwa na impact youote
  12. J

    JamiiForums Tanzania Urgently: Rais Samia nakuomba fanya jambo hili haraka sana uwasaidie wazazi wanao somesha Kayumba

    Wewe ni pumbavu, wenzake akina Angela Kiziga wanakula 45b plus wewe unaleta mambo ya shilingi mia tano?😡😡😡😡
  13. J

    JamiiForums Tanzania MUHOOZI: KAGAME NA MUSEVENI NI MATAJIRI KULIKO ELONI MUSK HUYO ELON WENU NI MASIKINI KWA HAWA WAWILI

    Kabisa. Ng''ombe na migomba kwa ajili ya matoke ya kumwaga maji🤣🤣🤣
  14. J

    JamiiForums Tanzania MUHOOZI: KAGAME NA MUSEVENI NI MATAJIRI KULIKO ELONI MUSK HUYO ELON WENU NI MASIKINI KWA HAWA WAWILI

    Watakuwa wamemzidi kwa idadi ya ng'ombe labda
Back
Top Bottom