Habari Jf
Nimesoma waraka wa Marehem Chacha Wangwe na Dr Nkumbo na nimegundua au nimehisi kuna kitu kinachoendelea chadema ambacho wanachama hatukijui,kwa nn Zzk wakat anataka kugombea uenyekiti ndo kashfa zmeanza kumuandama,sawa naamini ni mtu ambae sio safi na je Chacha wangwe alienza...
Hapa nakiri kua kuna kitu kipo chini ya Kapeti ambacho tunafichwa na Ufoo mana hii story bado sijaiukubali wadau,yan mtu ajishoot mara 2 while akijipoint kichwan moja tu tayari kishakufa.
Stil bado ukweli hatuujui ila Mungu ndo mtoa hukumu wa yote so tusihukumu
Nenda mlimani cty katika duka la GAME mana nlinunua mashine kwa 165,000T.Shs ya 110Bar which means Pressure ya 110 na nlikuta nyngne ya 140Bar na zote znatumia umeme
Samahani kwa usumbufu ila what if nkianza na mtaji wa Laki 6 kwa kununua kila kitu like mashine na unga na vitu vingine vinavyochangia katika utengenezaji wa mikate
Thanks sana kwa kunipa changamoto za hii biashara ndugu na je gharama zinakuaje kwa mkate mmoja,unahitaji unga kiwango gani na vitu gani vingine vya ziada?Jamaa wa TFDA na TBS nadhan itakua rahisi mana kama ntakua natengeneza na kwenda kuweka katika duka kwa ajili ya kuuza
Habari wanajamii, nlikua na wazo la kuanzisha local bakery kwa kutumia jiko la mkaa kwa ajili ya kutengeneza mkate na kuuza katika eneo nnaloishi na thamani ya hilo jiko ni 350,000 ila total cost na vifaa vyao vingine ambavo wamenitajia ni 450,000 na nlikuwa naomba msaada nijue ni gharama gani...
Samahani kwa usumbufu ila kwa mfanyabiashara si vizuri kuelezea mambo kijuu juu namna hiyo na kutegemea watu watakuja kununua,bila mtu kupiga simu inatakiwa ueleze watu ni jinsi gani inavofanya kazi na side effect zake ni zipi mana naamini kuna watu tunahitaji hiyo dawa ila hatujapata maelezo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.