Subwoofer mpya kabisaaa unafungua mwenyewe zinauzwa

tata mvoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
534
Reaction score
81
HABARI WAKUUUU NAUZA SUBWOOFER MPYAAA AINA YA SEA PIANO SP-1002,zina redio ya fm,sehemu ya memory card na sehemu ya flash disk.Subwoofer hizi ni kubwa na zina mdundo wa ukweli.BEI NI TSHS.130,000/=,BEI HAIPUNGUI.
Kwa anayetaka nipigie 0715404808 au 0786404808
 
Attachments

  • 113399.jpg
    113399.jpg
    1.7 KB · Views: 1,775
Mmh, mkuu hizi nakumbuka 2010 niliinunua dodoma dukani kabisa ilikuwa 120000 sasa kwa dar hata elfu 90 u get it.
 
Ni Watts100 kama sijakosea,pia mimi nalo kama hilo ila nlimuazima mtu AItumie kwenye sherehe akanirudishia speaker ya bass inatoa sauti ndogo sana so plz kama anayejua solution ya hili tatizo anisaidie jaman.
FAther j.
 
HABARI WAKUUUU NAUZA SUBWOOFER MPYAAA AINA YA SEA PIANO SP-1002,zina redio ya fm,sehemu ya memory card na sehemu ya flash disk.Subwoofer hizi ni kubwa na zina mdundo wa ukweli.BEI NI TSHS.130,000/=,BEI HAIPUNGUI.
Kwa anayetaka nipigie 0715404808 au 0786404808

Kwani zatengenezwa wapi hizo SEA PIANO??
China?
 
Mheshimiwa naomba kujua iwapo sub wooffer (sea piano model no sp-1002 kama inatumia remote control

HABARI WAKUUUU NAUZA SUBWOOFER MPYAAA AINA YA SEA PIANO SP-1002,zina redio ya fm,sehemu ya memory card na sehemu ya flash disk.Subwoofer hizi ni kubwa na zina mdundo wa ukweli.BEI NI TSHS.130,000/=,BEI HAIPUNGUI.
Kwa anayetaka nipigie 0715404808 au 0786404808
 
Mheshimiwa naomba kujua iwapo sub wooffer (sea piano model no sp-1002 kama inatumia remote control
 
Mimi nataka ile ya sauti kubwa ambayo itanifanya nikila chakula cha usiku jirani wa chumba cha pili asisikie miguno si unajua nyumba zetu unaona mirunda na bati ukiwa ndani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom