Recent content by Jopri

  1. J

    JamiiForums Tanzania Sakata wafadhili wa UKIMWI kujiondoa: Wizi umezidi mama yangu Fatma wa TACAIDS na sio porojo

    Ndugu Basiasi, Kwa simple analysis niliyoifanya kufuatana na hoja yako nimegundua una chuki binafsi na watumishi wa Taasisi uliyoitaja. Hakuna ukweli wowote kati ya hoja zako za kipuzi ulizoziandika na hufahamu unachokisema. Unaonekana huna uelewa wa unachokiongea na hujui unachokisema!. Binafsi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Kilichotokea Chuo cha Uhasibu Arusha, Lema alivyowatuliza wanachuo

    Nimesikiliza na kuangalia both videos!....Muh Lema na Mkuu wa Mkoa. My analysis: Lema hajaongea neno lolote baya zaidi ya kuwa advise wanafunzi kutokuandamana na badala yake wadai haki yao ya msingi kwa busara zaidi. Sijasikia neno la uchochezi hata moja. Ningekuwa mkuu wa Mkoa, ningekuwa na...
  3. J

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Kilichotokea Chuo cha Uhasibu Arusha, Lema alivyowatuliza wanachuo

    https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/440543-video-kilichotokea-chuo-cha-uhasibu-arusha-lema-alivyowatuliza-wanachuo.html
  4. J

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Kilichotokea Chuo cha Uhasibu Arusha, Lema alivyowatuliza wanachuo

    Inafunguka vyema video hiyo maana nimeifungua bila matatizo. Yawezakuwa net zenu ziko down ndio maana zinagoma. Kwa hapa nimetumia airtel na nzantel
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ya Mulugo: Was Only a Slip of Tongue! [Aliteleza Ulimi tuu]

    Pasco atakuwa ni mwalimu na Mulugo ni boss wake. Msijibizane na Pasco hahahaha.
  6. J

    JamiiForums Tanzania "Ukweli" kuhusu kifo cha RPC Barlow ni huu hapa...

    hahahahaha hiyo imenichekesha sana eti ''Ingekua mtu kila anapozini anatoka kitundu wengine mngekua kama neti humu''....Pia kuna mzee mmoja alisema alianza kuzini kabla ya uhuru na aliacha miaka ya karibuni,kwa hiyo akadai kama zingekuwa zile organ (Female Organs) zinabandikwa mwilini...yeye...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri;Mke wa mtu anataka nimpe mimba

    Kati ya watu niliowahi kuwadharau sana, wewe ni number mbili. Can't be serious kuongelea hilo mbele ya watu wenye akili timamu. Is you, yourself and yoursoul kufanyanya maamuzi. Sema jingine acha hizo laana.
Back
Top Bottom