JamiiForums Tanzania
Msaada
Habari za mchana wadau, natumai Mungu anatenda. Nina ombi moja tu kwenu kaka zangu, dada zangu, mama zang na baba zangu naomba yeyote anayeweza nipa kazi ya kujitolea nimesomea mambo ya manunuzi na ugavi (procurement and supplies,, degree) nachotaka ni kua busy kama mtu ataniajiri Mungu...