Recent content by Jongo66

  1. J

    Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

    Huo ni utani sasa yani wataelea juu ya maji kama Yesu huku wakiswali
  2. J

    Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

    Mazingira ni tofauti kanisani ni mpk jmoc na j2 hivyo kanisa hata likiwa mbali sio tatizo ila msikiti swala ikifika muda huo huo lazima mswali, wewe huoni Hospital ya taifa ya Muhimbili kuni msikiti na makanisa mawili
  3. J

    Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

    Kubarizi ufukweni na kuogelea
  4. J

    Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

    Ndio umeshajengwa wewe ulitaka lijengwe kanisa? Kuna maofisi
  5. J

    Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

    Hawezi kwani hiyo ni sehemu ya huduma, stendi ya Magufuli mbezi kuna msikiti, stendi ya mwenge kuna mckiti
  6. J

    Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

    Kama upo msikiti karibu na Coco beach tuambie upo sehemu gani
  7. J

    Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

    Wakristo ibada yenu ni mara moja kwa wiki wenzenu Waislamu ni mara5 kwa siku hvyo lazima wao wasogezewe huduma kwa karibu zaidi
  8. J

    Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

    M Msikiti ni sehemu ya huduma ya jamii japokuwa inawahusu Waislamu zaidi, ww hujiulizi kwa nini Posta, Kariakoo, Mnazi mmoja, UPANGA na Muhimbili misikiti ni mingi kuliko makanisa kwani Serikali ni ya Kiislamu
  9. J

    Zijue dalili za mwanamke msaliti katika mahusiano

    Ongezea na hili "ANAPENDA SANA KUTOKA OUT PEKE YAKE" HAPENDI KUONGOZANA NA MUMEWE KATIKA SAFARI ZAKE BINAFSI AU ZA KIFAMILIA
  10. J

    Shetan na majini wamemumbwa na moto halafu kiama wanatupwa tena motoni!

    Wewe umeumbwa na udongo halafu ukipigwa na donge la udongo mkavu unaumia ndivyo hivyo hivyo kwa majini nao wameumbwa kwa moto na wakitupwa kwenye moto wa MUNGU pia wanaungua
  11. J

    Ni nini kinachoipatia Serikali ya Zanzibar mapato?

    Hilo Hilo daraja la kutoka Tanzania bara kwenda Tanzania visiwani kwa sasa halina umuhimu mkubwa kwa sababu ni gharama kubwa mno
  12. J

    Tarime: Mwalimu wa Madrasa akamatwa kwa tuhuma za kunajisi watoto wadogo

    Hawa Walimu wa madrassa mpk wanadharirisha Taaluma yao sasa
  13. J

    Je, ni sahihi binti kulala na baba yake mzazi au mlezi?

    Kama huyo binti amekwisha vunja ungo sio sahihi kabisa
Back
Top Bottom