Recent content by Jonfor

  1. Jonfor

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Maalim Seif Hamad Kujiuzulu umakamu wa kwanza wa Rais Zanzibar

    Hiki ndo walitaka,wanachotaka na watakachokitaka Akina Sitta na wenzake
  2. Jonfor

    JamiiForums Tanzania Mabalozi Ujerumani, Uingereza, Marekani: Hatutahudhuria sherehe za katiba

    Aaaaaah watu wana ona nijambo dogo ila ni Kubwa mambo simazuri udikiteita wa ccm umeonwa mpaka maifa ya nje
  3. Jonfor

    JamiiForums Tanzania Othman Masoud: Jemedari wa kupigania haki

    Kumbe ha jamii foram kuna wahafidhina wa ccm nilidhani wote ni mapatriotism duuuh tukiendelea kushabikia ushenzi wa awa jamaa hatuta fika mbali!!!!!!
  4. Jonfor

    JamiiForums Tanzania IGP Mangu kiboko ya CHADEMA

    Duuuh mi simo make naona kumbe bado kuna watanzania ambao hawajitambui wanashabikia ukandamizaji bila kujua!!!!!???
  5. Jonfor

    JamiiForums Tanzania Samuel Sitta aunda Kamati ya maridhiano ya kuwasikiliza waliopiga kura za HAPANA

    Sasa hivi watanzania muone ni kwajinsi gani tunavyo buruzwa ili kukubaliana na mawazo kandamizi ya utawala wa ccm hiki alicho kifanya sita nikituko cha karne tuta kuwavituko mbele ya mataifa
  6. Jonfor

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    Warioba
  7. Jonfor

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya kina captain Komba, Naapa nitaichoma hadharani

    Unene ukubwa wa kichwa na tumbo kumbe si akili Komba ni MTZ kweli ? Naomba Jibu
  8. Jonfor

    JamiiForums Tanzania Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

    Duuuuh washakudembwe mnatumikavibaaaaaayaaaaa!!!!
  9. Jonfor

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Zitto watafuta suluhu

    Mmmmh!!!! Msaliti ataumbuka siku za mwushooo
  10. Jonfor

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Ufisadi wa IPTL kukabidhiwa kwa Kikwete badala ya Pinda

    Duuuuh hapa ninooma na Welemaa yuko wapi kati ya Hawa??
  11. Jonfor

    JamiiForums Tanzania BAVICHA, BAWACHA rushwa nje nje

    Aaaaah aaaah aaaaah!!!!! Wangaikaji mnakazii
  12. Jonfor

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri bungeni Dodoma: Alhamisi tarehe 11 Septemba, 2014 - Kikao cha 38

    I think wa tz sasa mna majibu sahihi kuhusu chama tawa name viongozi wake kupitia BMK
  13. Jonfor

    JamiiForums Tanzania Samwel Sitta ni nani katika Nchi hii ya watu 45 Milion

    Duuuuh kuna kazi kubwa kujua viongozi wabovu but sasa inshaaalah Mungu mkubwa tuna watambua kadili Siku. zonavyo enda kuelekea uchaguzi mkuu kutoka ccm
  14. Jonfor

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kujiondoa CHADEMA kwani ni chama cha kibaguzi

    Duuuh njaaaa mbaya kumbe mtu hukiongwa una uaweza mkana babaako mcha kweeeupeeeee but jua atakama cdm hawana cha kuonga maisha mazuri yanatokana na uvumilivu wa maisha ktk maisha maguuuumu
  15. Jonfor

    JamiiForums Tanzania Ufunguzi wa matawi ya ACT-Tanzania na mkutanoi wa ndani jijini Mwanza

    Adhabu ya dhambi ni mauti act sikuzao zajaaa
Back
Top Bottom