Recent content by joneslubinza

  1. J

    Kipengele cha 'DINI' ktk vitambulisho vya taifa

    ni vizuri maswala ya dini wakaachiwa waumini na viongozi wao. serikali iendelee na mambo yake, madai haya yakiachiwa yaendelee mwisho ni kuishia kwenye ugomvi kama tunavyosikia nchi zingine !
  2. J

    Job Ndugai asema wabunge wa bunge la jioni hawako sawa, walevi!

    Ndugai ametoa machache anayoyaona kama naibu spika, na hii ndiyo sababu ya bunge kuwa wazi mara nyingi !
  3. J

    Madaktari leo kujadili sakata la Ulimboka

    Kwavile swala la Ulimboka limegubikwa na utata si vizuri kuendelea kulijadili hadharani. Madaktari walijadili kwa tahadhari maana kilichomsibu mwenzao bado kiko palepale( wabaya wao) !
  4. J

    Kuna watu tunaimani na mwanahalisi kuliko hata serikali yetu

    Ni kawaida hata kwa binadamu wa kawaida ukiambiwa ukweli hadharani utachukia !
  5. J

    Zitto: Nia, Uzalendo na Uwezo wa kuwa Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania ninao!

    nafasi anayoitaka Zito ni kubwa, nilifikiri ingependeza kama tungesikia kauli hiyo kupitia kwa chama chake na si vinginevyo!
  6. J

    David Kafulila: Rais 2015 Lazima Atokee Kigoma

    mimi naona watanzania wengi hasa viongozi wasiasa wamelewa madaraka. kuna haja ya kupunguza marupurupu ili kuondoa usongo wa watu kukimbilia siasa. imefikia wakati watanzania kujali kazi za kitaalamu !
Back
Top Bottom