Recent content by Jonesk

  1. J

    JamiiForums Tanzania Magufuli aumbuka Mbezi Louis (Mbezi Mwisho). Akosa watu, akasirika na kuondoka

    duuh! majanga hiki chama changu tutashinda kweli?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kampeni CCM Sengerema, Magufuli agoma kumnadi William Ngeleja

    mkuu cko kwa lowasa wala kwa CCM, kura yangu bado haijapata mtu kwa leo nataka nimsikilize magufuli kwa mara ya mwisho nione km atanishawishi
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kampeni CCM Sengerema, Magufuli agoma kumnadi William Ngeleja

    Kazi ip hiyo bila umeme??????
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kampeni CCM Sengerema, Magufuli agoma kumnadi William Ngeleja

    kinacho niuma ni matumizi mabaya ya pesa kutafuta kura, ujue mpiga kura ni boss mgombea inabid amfuate alipo akajionee matatizo yake! ELIMU ELIMU ELIMU
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kampeni CCM Sengerema, Magufuli agoma kumnadi William Ngeleja

    maroli bado yanaendelea kusomba watu kutoka vijiji vya busisi, kahumuro, nyitundu, nyampande, bitoto, mkomba nyasenga lubanda, na mayuya. duuh! kutakuwa na mafuriko uwanja wa mnadani sengerema fika ukajionee.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mita 200: Jicho la kisheria (Tafsiri yangu binafsi)

    kura yangu lazima niilinde.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Magufuli ahadi zako hazikomi!, utajenga madaraja mpaka kwenye milima?

    hana jipya hotuba zake baada ya sentesi mbili anazungumzia ujenzi tu!
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rungwe yazizima ni mapokezi makubwa ya Edward Lowassa

    tupien picha bac wadau!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Amri 10 za kuwaongoza wanafunzi wa vyuo vikuu

    hii uzi nayo da! we acha 2
  10. J

    JamiiForums Tanzania st joseph university

    pa1 xna mkuu! bila shaka 2takua wote pale songea hv karibun!
  11. J

    JamiiForums Tanzania st joseph university

    kwa anae hitaji tuma email yako kwangu JONASROBERT297@YAHOO.COM ziko out tangu tar 02 sept.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu yeyote aliyefungua website ya tcu na aka login

    Huyo ni lzma apate2
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu yeyote aliyefungua website ya tcu na aka login

    CAS tcu unapataka pann?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Hivi usipokwenda jkt itakuwaje?

    Jkt + f6 haina maana kabisa zaidi ya kuramba matapishi enz za 1970s
Back
Top Bottom