Recent content by jones capo

  1. jones capo

    JamiiForums Tanzania Simuelewi mume wangu, 'anachat' na mama wa kizungu

    Badili na wewe password ya Facebook.
  2. jones capo

    JamiiForums Tanzania Kitambi ni ugonjwa wa akili

    Slim girls kama kina nandy ndio wako smart? Skia bana Akili za mtu hazipimwi kwa umbo, urefu, n.k
  3. jones capo

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu hivi ni kipi tunakiweza na kujivunia hapa ulimwenguni?

    Mkuu umesahau viongozi wakiulizwa hili swali nje ya nchi husema "Tunajivunia Mlima Kilimanjaro"... Haaaha..
  4. jones capo

    JamiiForums Tanzania Katika miaka hii ya utawala wa awamu ya tano, kumekuwa na msisitizo sana wa kuimarisha na kudumisha amani nchini

    Faida za Nchi kuwa na Amani ni nyingi sana, ila Je huu mfumo wa utawala wa sasa unafanya Amani izidi kukua au iwe inaendelea kupungua? Jibu wote tunalo.!!
  5. jones capo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania China to build 5 star hotels in Tanzania with Chinese influenced

    Hoteli za chinese traditions ina maana 97% ya wafanyakazi itakuwa wachina.!! Hapo kodi ndio tutafaidi.
  6. jones capo

    JamiiForums Tanzania Nahisi kuwa mnyonge sana, nahitaji ushauri kwa wenye ujuzi na hili

    Pole sana, hamna kitu kizuri kwenye maisha kama furaha. Kwani furaha yako ipo wapi? Ndoa(haina guarantee muda wa kuzaa unaeza kuisha) au Mtoto mwingine kabla ya ndoa?
  7. jones capo

    JamiiForums Tanzania Ni utapeli mpya au mimi ndio mshamba??

    Mkuu endelea kumtumia tigopesa ataku-unblock tu.
Back
Top Bottom