siku zote uchawi na uganga ni nguvu za giza, na siku zote hizi nguvu zinaendana na kafara.. ili nguvu izi ziwe kubwa, kafara kubwa pengine ya damu ya mtu inahitajika... au kafara ya mtoto wako, au ndugu yako. hivyo basi ktk nguvu za giza hakuna maendeleo, amani, huko huwa ni mambo ya giza tuu...