Recent content by Jonas kitiga

  1. Jonas kitiga

    JamiiForums Tanzania GE2015 Magufuli atashinda lakini mabadiliko hayaepukiki

    Pole mbwambo kwa kuzeeka vibaya kujaribu kuwaaminisha vijana wa tz ambao ndo wengi na ndo wanataka mabadiliko Huo usaliti wa taaluma zenu utawagharimu mbele za haki Unajifanya unazungukazunguka kurefusha makala zako kujiokotea sh.5000 za bia na zawad kwa wapenz wenu Jiandaen kuishi uhamishon
  2. Jonas kitiga

    JamiiForums Tanzania Asante Magazeti ya Leo kwa kuitendea haki taaluma ya Habari hapa Tanzania

    Nimeongea na wazee 3 wa ccm juu ya utafit wa twaweza wakasema Kama sample ni watu 1848 wamesema ccm,basi hao walikuwa ni wanaccm tu, Lakin waliobaki yaan zaid ya mil.23 ni UKAWA Kwahiyo wajipange tena upya
  3. Jonas kitiga

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowasa
  4. Jonas kitiga

    JamiiForums Tanzania Lowasa aanza kuwachezea rafu CHADEMA, alazimisha atengewe nafasi 30 za Wabunge

    Ccm kwa propaganda za kichovu hadi aibu
Back
Top Bottom