Recent content by jon billz jr

  1. J

    JamiiForums Tanzania Wale wa udsm ukitaka kujua kama uko main campus hama mabibo na kujua kuhusu ada yako ya chuo

    had mwaka wa kwanza wameshaingizwa me nmejaribu kulog in imekubal bt ttz hailet detail za hostel ipi umepangiwa.....inasema CLOSED!
  2. J

    JamiiForums Tanzania msaada gharama za hostel udsm.........

    jmn wandugu nahitaj msaada wa gharama za hostel main campus n sh ngap kwa semester na mabibo napo ni sh ngap kwa semester.......kwa wana udsm na wasio wa udsm jmn yyt anaejua
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nini hatima yetu sisi ambao tunavigezo lakini hatujaona mikopo nashindwa kuelewa mana mikopo siielew

    ney we acha tu hawa watu cjui wanataka nn yan:frusty:
  4. J

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo kutoa upya mikopo tar. 25/9/2012

    kaka ni ya kwel hayo maana kukosa mkopo inatuumiza acha tu
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nani ameshawahi kuomba mkopo hlssf?

    duh xaxa kimbilio la tuliokosa mkopo n wap xaxa?:angry:
  6. J

    JamiiForums Tanzania Hawa HESLB jamani, daaah!

    dah xaxa wanafunzi 4000 kwel wanatuchinjia baharin wanategemea tuishi vip xaxa dah hii tanzania
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nani ameshawahi kuomba mkopo hlssf?

    bora tujue maana inaweza ikala kwako aiseh
  8. J

    JamiiForums Tanzania Hawa HESLB jamani, daaah!

    eti jmn ningependa kuuliza kwa wale ambao majina yao hayapo bodi ya mikopo inamaanisha hata hela ya chakula na stationary hawapati au?...
Back
Top Bottom