Nini hatima yetu sisi ambao tunavigezo lakini hatujaona mikopo nashindwa kuelewa mana mikopo siielew

May 22, 2012
43
1
Ivi jaman mm nataka kujua kwanini inakuwa hivi au tatizo ni nini watu wengne kuwa na criterias lakini hata asilimia 0 hamna itz not fair kwakweli heslb hata cielewi nifanye nini au ntafanya nini
 
Ivi jaman mm nataka kujua kwanini inakuwa hivi au tatizo ni nini watu wengne kuwa na criterias lakini hata asilimia 0 hamna itz not fair kwakweli heslb hata cielewi nifanye nini au ntafanya nini

pole sana... as long as umesema unavgzo, nakushauri ukakate rufaa, au jna lako laweza kuwa kati ya wale 600 wenye vigzo bt wana kasoro kidogo..
 
Usijali Kaka,fuatilia Vizuri,kwani Umeona Jina Lako popote?kama Bado Basi Nakushauri Uende Bodi Kama Upo Bongo Ukacheki Utashangaa Umepata ila hukuliona kwa7bu haukujua pakulipata .ila,"criteria" Ni Wingi,So huwezi Kuongeza "S" Umoja Wa Neno Hilo Ni Criterion.
 
wametoa majina ya watu wenye vigezo na mikopo yao ila yao ila wanamatatizo mbali mbali check post yangu utayaona au ingia heslb uone unaweza ukawemo
 
Kaka pole sana coz inauma!mm pia ni mhanga coz nlkuwa na vgezo vyote bt jina cjaliona.jana nlienda bod lkn majb yao yanakatsha tamaa hasa kwa cc makayumba.km ulkuwa navgezo watakwambia 'bajet imefka kikomo,jarb tena mwakan'.na kuapeal ad uwe umepata japo 0%.Kaka 2ckate tamaa,tukubaliane na realty then kujpanga na ishu yyte ya kukuingizia anythng huku kwa iman ukiwait mwakan.
 
Nina "mashaka" hii taacc,majuz nlmpigia mhuska bt nlshangazwa coz hakuweza hata kuilezea hlssf the way walvojtangaza kwenye website yao(www.hlssf.org).Narudia tena nina MASHAKA,huwez kuwa mwanachama leo then wakupe wakukopeshe milion kadhaa kesho.
 
bac nlivyfika nkamkuta secretary cjui hafahamu zaidi au wamemuwekaa 2 pale ila yaan jengo ukiliona 2 mashaka lzma yawe na ww ila wng wamesha apply 2 kwa kweli nimekuta form zao pale na wanasema walikuwa wanasubiri heslb watoe list ya waliopata ili wao waanze kutoa xo kwa walio apply cnc mwz wa 2 bac mwezi wa 10 ndo wanapata ela ila kwa wanao apply nw au ndo process bac watapata kwny mwz wa 11 xaxa kazi kwako!
 
nasitiza
aisee kwa kweli wadogo zetu jitahidnii kuwa makini tunajua mko kwenye kipindi kigumu hasa mliokosa mikopo .. ila hakikisheni mnapata taarifa za uhakika kuhusu hawa jamaa(HLSSF) maana msije mkaingia mikataba ambayo mtaijutia ..
JITAHIDINI KUPATA HABARI ZA UHAKIKA MPUNGUZE UVIVU WAKUFUATILIA MAMBO ITAWAGHARIMU
regards
KITU KINGINE KAMA UMEKOSA MKOPO NA UMEPATA ADMISSION USHAURI KAMA UNAWEZA FIKA CHUO ULICHOPANGIWA KUNA SERIKALI ZA WANAFUNZI MFANO DARUSO (UDSM) WANAWEZA WAKAWAPENI DIRECTIVES PIA UKIWEZA KUWEPO CHUO KUNA WATU WENGI WA NAMNA YAKO UTAKUTANA NAYO INAKUWA RAHISI KUORGANIZE USIKATE TAMAA UKIWA NYUMBANI
 
Back
Top Bottom