Recent content by Jommo

  1. J

    Mbowe: Tatizo la Mtwara linahitaji mazungumzo na sio nguvu za kijeshi

    Atongwele, serikali ilijiandaa kutumia nguvu hata kabla ya jana kwa kukusanya askari na vifaa kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Je nguvu hiyo ingetumika kugharamia kampeni ya uelimishaji na majadiliano ya umma wa wana Mtwara isingetosha? Tena wamekumbuka kuleta askari na vifaa vya kuumiza raia...
  2. J

    Prof Sospeter Muhongo Unasubiri nini?

    Kwa taarifa yako tayari wameshaanza nao.
  3. J

    Uhaini wa Mtwara ulipangwa

    Maeneo ya Magomeni, Chikongola, Nkanaledi, Mikindani maaskari wanaingia majumbani mwa watu na kumsomba mtu yeyote ambaye ni mwanaume awe amehusika awe hajahusika na kumkamata. Pia inaripotiwa na uhalifu unafanywa na maaskari hao hao. Jambo linaloamsha hisia kwa wananchi. RPC anaongea na...
  4. J

    RC Mtwara: Hali ya Mtwara ni shwari kabisa!

    Muda huu ninapoandika ndege kubwa ya jeshi inatua hapa Mtwara; je ndiyo hali shwari hiyo wanayosema viongozi wetu au tuwaeleweje? sijui kwa nini uongo ndiyo umekuwa staili yetu; hata chanzo cha vurugu kinapotoshwa na hata baadhi ya wabunge wetu hawaelewi wanachochangia masikini...Ninashauri...
  5. J

    Gesi:Barua toka Umakondeni Mtwara - Passive resistance inaendelea, je nan muhamasishaji?

    Serikali itafanya matumizi makubwa sana kwenye vifaa vya ulinzi na mafunzo. kwa vile nchi haina fedha za kutosha wakubwa wa nje watatukopesha na tutawalipa kupitia rasilimali zetu hizi na huo ndio muendelezo umasikini wetu wa taifa hili hadi vizazi vijavyo. Viongozi mzinduke amani haipatikani...
  6. J

    Kinachotokea Iringa, Tafsiri Yangu...

    Ni bahati mbaya sana viongozi wakuu wa polisi wanafikiria mabavu ni suluhisho la kila kitu kumbe siyo kweli; maeneo mengine vurugu zinaanza mara tu baada ya polisi kuanza kurusha mabomu. Ni wakati sasa wa polisi kujifunza mikakati mingine ya kulinda amani badala ya hali ilivyo sasa. Moto...
Back
Top Bottom